faida za demokrasia ni kugawanya watu katika makundi ya kupigana haijawahi kua na faida, na demokrasia ikizidi sana uhalifu unashamiriAwamu ya tano haikutaka kabisa vyama vya upinzani viwepo ndo mana yule jamaa alizuia mikutano yote ya upinzani tukabaki tunalazimishwa kuipenda ccm na ukiwa kinyume tu ama unapigwa risasi au unapotezwa mazima.
Udicator nchini umeanzia kwa jamaa. Jk alipromote sana demokrasia na siasa zilikuwa za kistaarabu mno. Likamaa lilivyoingia kwanza likqqmza kumchapa masisi lisu lengo ikiwa ni kumuua kabisa kuondoa threat kwenye utawala wake.
Ni ukweli mchungu...Awamu ya tano haikutaka kabisa vyama vya upinzani viwepo ndo mana yule jamaa alizuia mikutano yote ya upinzani tukabaki tunalazimishwa kuipenda ccm na ukiwa kinyume tu ama unapigwa risasi au unapotezwa mazima.
Udicator nchini umeanzia kwa jamaa. Jk alipromote sana demokrasia na siasa zilikuwa za kistaarabu mno. Likamaa lilivyoingia kwanza likqqmza kumchapa masisi lisu lengo ikiwa ni kumuua kabisa kuondoa threat kwenye utawala wake.
Marekani ipo vile kwa sababu ya strong demokrasy waliyo nayo. Hakuna nchi ya kidictator yenye maendeleo endelevu hata moja. Dictatorship has been proven to lag behind developments. China na urusi ndiyo mnajivunia ili kujustify udictator wenu lakini kimsingi zile nchi maendeleo yako centerd kwa mtu na akifa basifaida za demokrasia ni kugawanya watu katika makundi ya kupigana haijawahi kua na faida, na demokrasia ikizidi sana uhalifu unashamiri
marekani sio democratic kama unavodhan, vyama 2 tu ndo vinashikilia nchi hio sio demokrasia na wana siasa wengi washaliongelea hilo sanaMarekani ipo vile kwa sababu ya strong demokrasy waliyo nayo. Hakuna nchi ya kidictator yenye maendeleo endelevu hata moja. Dictatorship has been proven to lag behind developments. China na urusi ndiyo mnajivunia ili kujustify udictator wenu lakini kimsingi zile nchi maendeleo yako centerd kwa mtu na akifa basi
Isingekuwa demokratic mpaka leo kamala angekuwa rais mana alikuwa na vyombo vyote vya dola au biden asingetoka kama ilivyo kwa akina mseven wanaotaka kufia madarakanimarekani sio democratic kama unavodhan, vyama 2 tu ndo vinashikilia nchi hio sio demokrasia na wana siasa wengi washaliongelea hilo sana
unaweza pitia haya maelezo:
View: https://www.youtube.com/watch?v=srfeHpQNEAI&pp=ygUVaXMgYW1lcmljYSBkZW1vY3JhdGlj
View: https://www.youtube.com/watch?v=04n6qrBwFBE&pp=ygUVaXMgYW1lcmljYSBkZW1vY3JhdGlj
kingine hakunaga mafanikio ya makundi, mafanikio huletwa na dira 1 ilionyooka kwa wote:
kama china imetumia kichwa kimoja kufika maendeleo ambayo marekani ametumia miaka 400 yapi ni maendeleo halisi?
bahati mbaya nyuma ya pazia ya vyama vyote marekani ni nchi inaongozwa na wafanya biashara, kwa upande mkubwa ni wayahudi hata Lissu alishazungumzia hilo na akatoa kauli ikisemaIsingekuwa demokratic mpaka leo kamala angekuwa rais mana alikuwa na vyombo vyote vya dola au biden asingetoka kama ilivyo kwa akina mseven wanaotaka kufia madarakani
Out of point. The strong democracy in america can make anyone become president ili mradi uwe na ushawishi wa hoja. Ndo mana akina barak obama walikuwa marais licha ya uafrika ndani yake. America kila kura inahesabiwa na kuheshimiwa hakuna wizi. Huku kwetu sasa tunaambiwa hadharani kkwamba chagua chama kingine upoteze mda mana ccm lazima itangazwe ( Ana makinda)bahati mbaya nyuma ya pazia ya vyama vyote marekani ni nchi inaongozwa na wafanya biashara, kwa upande mkubwa ni wayahudi hata Lissu alishazungumzia hilo na akatoa kauli ikisema
"we ni mfu ukienda kinyuma na marekani lakini pia wewe ni kichaa ukiungana na marekani"
ni nyie peke yake mnaipa umuhimu marekani ila ni nchi inadeshwa na mafungu ya watu
raisi wa marekani hachaguliwi kwa kura dogo, lissu alishaliongelea hili mda sanaOut of point. The strong democracy in america can make anyone become president ili mradi uwe na ushawishi wa hoja. Ndo mana akina barak obama walikuwa marais licha ya uafrika ndani yake. America kila kura inahesabiwa na kuheshimiwa hakuna wizi. Huku kwetu sasa tunaambiwa hadharani kkwamba chagua chama kingine upoteze mda mana ccm lazima itangazwe ( Ana makinda)
Ule ni mfumo mzuri mno sawa na south africa ambapo rais anachaguliwa indirectly na wananchi kupitia wabunge. I admire ule mfumo na unawesekana tu kwa nchi zenye demokrasi ambapo hakuna wizi. Ingekuwa huku tungebariki idictator wa kukaa madarakani forever kama alivyotaka jpm aongoze mpaka malaika mbinguniraisi wa marekani hachaguliwi kwa kura dogo, lissu alishaliongelea hili mda sana
Vipi sasa demokrasia imerudi kwa kiasi gani baada ya miaka kupitaAwamu ya tano haikutaka kabisa vyama vya upinzani viwepo ndo mana yule jamaa alizuia mikutano yote ya upinzani tukabaki tunalazimishwa kuipenda ccm na ukiwa kinyume tu ama unapigwa risasi au unapotezwa mazima.
Udicator nchini umeanzia kwa jamaa. Jk alipromote sana demokrasia na siasa zilikuwa za kistaarabu mno. Likamaa lilivyoingia kwanza likqqmza kumchapa masisi lisu lengo ikiwa ni kumuua kabisa kuondoa threat kwenye utawala wake.
Jpm ameahaharibu mfumo mzima. Kurudi kama awamu ya jk itachukua mda na istokee tena tukachagua kichaa mana alijiita kichaaVipi sasa demokrasia imerudi kwa kiasi gani baada ya miaka kupita