Chanzo cha demokrasi kuharibika nchini ni awamu ya tano

Ule ni mfumo mzuri mno sawa na south africa ambapo rais anachaguliwa indirectly na wananchi kupitia wabunge. I admire ule mfumo na unawesekana tu kwa nchi zenye demokrasi ambapo hakuna wizi. Ingekuwa huku tungebariki idictator wa kukaa madarakani forever kama alivyotaka jpm aongoze mpaka malaika mbinguni
we hata huelewi dunia ikoje, skiliza hiki kipengele cha lissu anaeleza jinsi ya kushinda uchaguzi marekan

View: https://youtu.be/uuCyN8MHBn8?t=4775
anzia apo apo video inapoanza
 
ivi nyie ndo mnakaaga mnaambiana kwamba kura za wamarekani ndo zinachagua raisi wa marekan 🤣 🤣 🤣
 
Mi nazungumzia demokrasia. Kitendo cha trump kushinda urais bila dola hiyo ndo demokrasia. Tanzania haiwezekani ispokuwa kenya tu. Ruto alishinda urais bila dola
 
Awamu ya tano haikutaka kabisa vyama vya upinzani viwepo ndo mana yule jamaa alizuia mikutano yote ya upinzani tukabaki tunalazimishwa kuipenda ccm na ukiwa kinyume tu ama unapigwa risasi au unapotezwa mazima.

Udicator nchini umeanzia kwa jamaa. Jk alipromote sana demokrasia na siasa zilikuwa za kistaarabu mno. Likamaa lilivyoingia kwanza likqqmza kumchapa masisi lisu lengo ikiwa ni kumuua kabisa kuondoa threat kwenye utawala wake.
Lijamaa lilikuwa hatari sana
 
Awamu ya tano haikutaka kabisa vyama vya upinzani viwepo ndo mana yule jamaa alizuia mikutano yote ya upinzani tukabaki tunalazimishwa kuipenda ccm na ukiwa kinyume tu ama unapigwa risasi au unapotezwa mazima.

Udicator nchini umeanzia kwa jamaa. Jk alipromote sana demokrasia na siasa zilikuwa za kistaarabu mno. Likamaa lilivyoingia kwanza likqqmza kumchapa masisi lisu lengo ikiwa ni kumuua Kabisa kuondoa threat kwenye utawala wake.
Kwanini aliye chukua asirekebishe. Kama ni kweli kauli yako na chawa wako
 
Mi nazungumzia demokrasia. Kitendo cha trump kushinda urais bila dola hiyo ndo demokrasia. Tanzania haiwezekani ispokuwa kenya tu. Ruto alishinda urais bila dola
badala ya kuskiliza videeo unaropoka apo kuna sehem yoyote lissu kasema raisi wa marekani anachaguliwa kwa kura?
 
ivi nyie ndo mnakaaga mnaambiana kwamba kura za wamarekani ndo zinachagua raisi wa marekan 🤣 🤣 🤣
Kwani rais wa marekani anachaguliwa mbinguni. Basi wamerekani wasingekuwa wanapiga kuwa mana ni wastage of time. Wamarekani wanafurika kupiga kura kila baada ya miaka minne. Wale wana akilj they know how it works.
 
badala ya kuskiliza videeo unaropoka apo kuna sehem yoyote lissu kasema raisi wa marekani anachaguliwa kwa kura?
Kwa hiyo wamarekani wanapoteza muda kuchagua rais. Si wangekuwa hawajitokezi sasa mana ni wastage of time
 
Kwani rais wa marekani anachaguliwa mbinguni. Basi wamerekani wasingekuwa wanapiga kuwa mana ni wastage of time. Wamarekani wanafurika kupiga kura kila baada ya miaka minne. Wale wana akilj they know how it works.
🤣 🤣 poor you! badala uskilize video hio unaropoka
 
Kwa hiyo wamarekani wanapoteza muda kuchagua rais. Si wangekuwa hawajitokezi sasa mana ni wastage of time
demokrasia kwa ajili ya maskini hakuna nchi ilioendelea inakumbatia demokrasia! ni nyie tu mnapoteza mda kila mwana siasa ana agenda binafsi ama ya kundi fulani anatakiwa kutimiza amna sku maskini watachagua mtu atakuja kuwasaidia, "ukiwa nacho unaongezewa usipokua nacho ata kile kidogo kinabebwa"
 
Kinyume chake kuna nchi iliyoendelea kwa kuongozwa na dictator zaidi ya mauaji tu. Ngoja samia aamue kuwa dictator tuone kama utafurahi
 
🤣 🤣 poor you! badala uskilize video hio unaropoka
Mi siyo naive wala tabulalasa dogo. Najua mi mimi mwenyewe siyo lazima nisikilize mtu mweye uelewa sawa na mimi au namzidi. Naelewa mwenyewe sihitaji kuelezwa na mtu. Siyo lazima kila anachosema lisu is always right. I dont buy this idea
 
Kinyume chake kuna nchi iliyoendelea kwa kuongozwa na dictator zaidi ya mauaji tu. Ngoja samia aamue kuwa dictator tuone kama utafurahi
mm sio mfuasi wa vyama vingi, lakini siungi mkono mauaji ila ata mm ningekua president ni mwendo wa xi jin ping
 
Mi siyo naive wala tabulalasa dogo. Najua mi mimi mwenyewe siyo lazima nisikilize mtu mweye uelewa sawa na mimi au namzidi. Naelewa mwenyewe sihitaji kuelezwa na mtu. Siyo lazima kila anachosema lisu is always right. I dont buy this idea
mpaka sasa huelewi siasa za marekani means bado upo mchanga kwenye siasa kama lissu aliepo upinzan anaelewa kinachoendelea na wewe unasema unajua kuliko yeye, kwa lugha nyepesi unapoteza mda kama siasa ndo unazifikiriaga ivo kwamba wengi wapate mwishowe utakua kama wanachadema walivo mtu akihama mnamtukana
 
Africa haina maendelea kwa sababu hamna demokrasia. Angalu south africa yenye demokrasia maendeleo yanaonekana. Hakuna nchi ya kidictatir yenye maendeleo ni mateso tu kwa watu ambao rais anahisi ni threat kwa kwa uongozi wake kama ilivyo kagame anaua wapinzani wake kila siku
 
Awamu ya tano haikutaka kabisa vyama vya upinzani viwepo ndo mana yule jamaa alizuia mikutano yote ya upinzani tukabaki tunalazimishwa kuipenda ccm na ukiwa kinyume tu ama unapigwa risasi au unapotezwa mazima.

Udicator nchini umeanzia kwa jamaa. Jk alipromote sana demokrasia na siasa zilikuwa za kistaarabu mno. Likamaa lilivyoingia kwanza likqqmza kumchapa masisi lisu lengo ikiwa ni kumuua kabisa kuondoa threat kwenye utawala wake.
Kitendo cha kuchukua makada na wajinga wajinga na kuwaingiza kwenye Ubunge, Serikali za mitaa ndio kumefanya leo mpaka Dotto Magari anagombea Ubunge.
 
Africa haina maendelea kwa sababu hamna demokrasia. Angalu south africa yenye demokrasia maendeleo yanaonekana. Hakuna nchi ya kidictatir yenye maendeleo ni mateso tu kwa watu ambao rais anahisi ni threat kwa kwa uongozi wake kama ilivyo kagame anaua wapinzani wake kila siku
south imeendelea toka kitambo kabla hata mandela hayatoka tayar wazungu walishaweka makazi na kuanzisha biashara zao
 
Halafu makamu wake alikuwa ni samia nadhani ndo alikuwa mshauli wake kwenye hayo mambo maana yeye alipokea kiti baada yule kufariki na amezidisha kuliko hata yule.
Si wanasema remote iko msoga? Kama kweli ni mwanademokrasia wa kweli mbona anaminya upinzani?
 
Back
Top Bottom