Chanzo cha demokrasi kuharibika nchini ni awamu ya tano

Chanzo cha demokrasi kuharibika nchini ni awamu ya tano

Awamu ya tano haikutaka kabisa vyama vya upinzani viwepo ndo mana yule jamaa alizuia mikutano yote ya upinzani tukabaki tunalazimishwa kuipenda ccm na ukiwa kinyume tu ama unapigwa risasi au unapotezwa mazima.

Udicator nchini umeanzia kwa jamaa. Jk alipromote sana demokrasia na siasa zilikuwa za kistaarabu mno. Likamaa lilivyoingia kwanza likqqmza kumchapa masisi lisu lengo ikiwa ni kumuua kabisa kuondoa threat kwenye utawala wake.
**** ya mama yako
 
- Taarifa za chini zinasema alikua pandikizi la kagame, cha ajab chadema wakaja kumchukua na kumsafisha 🤣 🤣, hili lichama kuna mda linahitaji reform kubwa sana ndan
Wewe simply Huna akili
 
- Taarifa za chini zinasema alikua pandikizi la kagame, cha ajab chadema wakaja kumchukua na kumsafisha 🤣 🤣, hili lichama kuna mda linahitaji reform kubwa sana ndan

..Kagame ni mtu mdogo sana kuhofiwa na linchi likubwa kama Tanzania. Unajua Rwanda ni ndogo kuliko baadhi ya mikoa ya Tanzania?🤣
 
sitetei ccm lakini kwa dunia ya sasa demokrasia pamoja na human rights vimeleta uharibifu sana ndo maana hata LGBTQ communities zinaexit na zimeanza kwenye nchi ambazo tunaona ni role modal kwa demokrasia
 
..Kagame ni mtu mdogo sana kuhofiwa na linchi likubwa kama Tanzania. Unajua Rwanda ni ndogo kuliko baadhi ya mikoa ya Tanzania?🤣
ivi we jamaa aliekwambia kushinda vita mpaka uwe nchi kubwa nan, ukanda wote huu wa afrika mashariki na kati hakuna anaeweza kushinda vita na paul kagame na UN imeshathibitisha hilo
 
Awamu ya tano haikutaka kabisa vyama vya upinzani viwepo ndo mana yule jamaa alizuia mikutano yote ya upinzani tukabaki tunalazimishwa kuipenda ccm na ukiwa kinyume tu ama unapigwa risasi au unapotezwa mazima.

Udicator nchini umeanzia kwa jamaa. Jk alipromote sana demokrasia na siasa zilikuwa za kistaarabu mno. Likamaa lilivyoingia kwanza likqqmza kumchapa masisi lisu lengo ikiwa ni kumuua kabisa kuondoa threat kwenye utawala wake.
Naona unaishi kwa kutumia akili za marehemu.
 
Awamu ya tano haikutaka kabisa vyama vya upinzani viwepo ndo mana yule jamaa alizuia mikutano yote ya upinzani tukabaki tunalazimishwa kuipenda ccm na ukiwa kinyume tu ama unapigwa risasi au unapotezwa mazima.

Udicator nchini umeanzia kwa jamaa. Jk alipromote sana demokrasia na siasa zilikuwa za kistaarabu mno. Likamaa lilivyoingia kwanza likqqmza kumchapa masisi lisu lengo ikiwa ni kumuua kabisa kuondoa threat kwenye utawala wake.
Unalaumu vipi awamu ya tano wakati awamu ya kwanza ndiyo.

1. Ilifuta mfumo wa vyama vingi mwaka 1965.

2. Ilirithi sheria dhalimu za kikoloni na kukataa kuzibadilisha.

3. Ilivunja vyama huru vya wafanyakazi na kuunda NUTA, chama cha wafanyakazi ambacho kilikuwa jumuiya ya TANU, na baadaye JUWATA, iliyokuwa jumuiya ya wafanyakqzi chini ya CCM?

4. Ilifanya nchi iendeshwe kwa chama kushika hatamu.

5. Ilifungia watu kidhalimu kwa sheria kama indefinite detention.

6. Ilivuruga chaguzi hata kabla ya kuwapo vyama vingi. Unajua kuwa Rais wa Zanzibar , Idris Abdul Wakil hakushinda uchaguzi wa urais wa chama kimoja wa kura za "Ndiyo/ Hapana" mwaka 1985, na matokeo halisi yalionesha alivyoshindwa yalifika mpaka Daily News, ila uongozi ukaamua kuyageuza na kumtangaza mshindi? Kabla ya CCM kuvuruga na kupindua chaguzi za urais za Salmin Amour na Amani Karume, ilifanya hivyo kwenye ucjaguzi wa Idris Abdul Wakil mwaka 1985.

7. Unajua kuwa Nyerere mwenyewe kwa mdomo wake kasema kuwa katiba yetu inamruhusu rais kuwa dikteta, lakini hakuibadilisha? Kwa nini?

Hakuna kitu alichofanya Magufuli ambacho Nyerere hajafanya. Tofauti ni kwamba Nyerere alitumia sheria na hoja ambazo zilionekana kama za kisomi, Magufuli alikuwa anasema ovyo na kufanya mambo kishamba.

Magufuli alipiga marufuku mikutano ya kisiasa.

Nyerere alipiga marufuku vyama vya siasa tofauti na chake.

Hapo utasemaje chanzo cha demokrasia kuharibika ni awamu ya tano?

Hii dhambi kaianzisha Nyerere.

Unafikiri tungekuwa na utamaduni wa vyama vingi kuanzia 1961 mpaka 2015 Magufuli angeweza kufanya alivyofanya?
 
ivi we jamaa aliekwambia kushinda vita mpaka uwe nchi kubwa nan, ukanda wote huu wa afrika mashariki na kati hakuna anaeweza kushinda vita na paul kagame na UN imeshathibitisha hilo

..Muulize Ukraine.
 
Jpm ameahaharibu mfumo mzima. Kurudi kama awamu ya jk itachukua mda na istokee tena tukachagua kichaa mana alijiita kichaa
Wanashindwa kurekebisha? Hiko ni kichaka tu
 
..Muulize Ukraine.
ukraine hajashindwa kwa sababu ni nchi ndogo factors ni nyingi, mfano ukiwa na vifaa bora na unajua kuvitumia unashinda vita, likewise unaweza kua na vifaa bora ukashindwa vita! mfano ikitokea mtu anataka vita vya 1 to 1 na marekani mfano vietnam yalitokea,

pia vita zipo ikiwemo uchumi, ujasusi mfano kagame alihusika kumtoa mobutu madarakani, likewise museven alichukua nchi akiwa na wanajeshi 14 tu, kwahio vita usiangalie size its more than that
 
Back
Top Bottom