Chanzo cha demokrasi kuharibika nchini ni awamu ya tano

Ipo siku mtashindwa kubeba mimba za mume zenu na kumlaumu JPM
 
..Wayahudi wako kwa Republicans na Democrats kwa hiyo kushinda uchaguzi Marekani lazima ukashawishi wapigakura.
wayahudi hawaa vyama dogo na wapo pale kama wafanya biashara tu
 
..Wayahudi ni ma lobbyists kama walivyo wengine. Na wana lobby vyama vyote.

..Kwa hapa Tanzania mgombea wa chama tawala anaweza kuamua kumuua mpinzani wake, hilo haliwezekani Marekani.

..Pia Marekani haiwezekani watu wa vyombo vya dola wakatumika kushindilia kura ktk vituo ili mgombea wa chama tawala ashinde.

..Miaka ya 70 timu ya kampeni ya Raisi wa Marekani, Richard Nixon, ilidukua mawasiliano ya mgombea uraisi wa upinzani. Baada ya kashfa hiyo kugundulika, Rais Richard Nixon alilazimishwa kujiuzulu.

..Uchaguzi wa Wamarekani una mapungufu yake, lakini yako mazuri mengi ya kujifunza.
 
Kuna kipindi nilikua mdau ata wa kufuatilia bunge ila baaada ya kuingia lile jinga la burigi na kufanya ata bunge lisiruke live niliiona dhamira ovu kbs .
Utaratibu wangu ni ule ule sina mda wa kwenda kupanga mstari nipige kura mpk nitakapo ridhishwa na mwenendo wa demokrasia
 
..Wayahudi ni ma lobbyists kama walivyo wengine. Na wana lobby vyama vyote.

..Kwa hapa Tanzania mgombea wa chama tawala anaweza kuamua kumuua mpinzani wake, hilo haliwezekani Marekani.

..Pia Marekani haiwezekani watu wa vyombo vya dola wakatumika kushindilia kura ktk vituo ili mgombea wa chama tawala ashinde.

..Miaka ya 70 timu ya kampeni ya Raisi wa Marekani, Richard Nixon, ilidukua mawasiliano ya mgombea uraisi wa upinzani. Baada ya kashfa hiyo kugundulika, Rais Richard Nixon alilazimishwa kujiuzulu.

..Uchaguzi wa Wamarekani una mapungufu yake, lakini yako mazuri mengi ya kujifunza.
uchaguzi wa marekani ni kichaka cha kuficha udictator! mtu yoyote anaeshinda uongozi marekani hawezi kutimiza matakwa alioyoahidi kwenye kampeni kama hayaendani na wayahudi na pia kura za wamarekani ni kupoteza mda
wananchi wanaweza kuchagua mtu flan ashinde ila kura zitakazoamua mwishon mshindi ni za viongozi, hivo basi wananchi wanataka trump ashinde ila masenate wanataka cliton ashinde, na anaetangazwa mshindi ni aliepigiwa kura ya nyumba ya viongozi, hii ndo demokrasia kwako?
2) Umoja wa mataifa ulipiga kura israel aondoke palestine marekani akakataa na mpaka leo israel hajaondoka pale, hii ndo demokrasia kwako?

3) iran kaanzisha program yake ya nuclear marekani hataki, hii ndo demokrasia au sio

View: https://www.tiktok.com/@miraji2804/video/7518296863599004984
 
Hatuishi awamu ya tano,makosa ya mwingine hayakupi uhalali wa kufanya makosa
 
..Raisi wao anachaguliwa kwa mujibu wa taratibu walizojiwekea, zinazoendana na muundo wa nchi yao, na ziko wazi sio za kificho.

..suala la Nuclear za Iran ni tofauti na masuala ya ndani ya Wamarekani. Na kwa kiasi kikubwa vyama vyote viwili vinakubaliana ktk sera ya mambo ya nje kwamba Iran izuiwe kumiliki Nuclear.
 
Ni kweli Magu ndio muasisi wa siasa za hovyo za sasa.
Siasa za umungumtu.
 
..Raisi wao anachaguliwa kwa mujibu wa taratibu walizojiwekea, zinazoendana na muundo wa nchi yao, na ziko wazi sio za kificho.

..suala la Nuclear za Iran ni tofauti na masuala ya ndani ya Wamarekani. Na kwa kiasi kikubwa vyama vyote viwili vinakubaliana ktk sera ya mambo ya nje kwamba Iran izuiwe kumiliki Nuclear.
we kwel umepinda yaani nchi wakubali wana shida na nuclear wewe utoke uku kwako kuja kuaambia hatutaki muwe nayo 🤣 🤣
na kamma marekani ndo wamejiwekea njia yao ya kugombea ndo ivo basi na sisi tunachagua tunayotaka hata ivo kabla ya wao kuja tulikua na njia zetu kulikia na machifu na mambo yalienda vizuri, hili la demokrasia ya kura personally sioni faida yake anatakiwa aje mtu mtu mwenye kauli kama moi
 
..hilo la Marekani kujipa jukumu la kuwa Polisi wa dunia mimi siliungi mkono.

..lakini pia ninavyoelewa ni kwamba Tanzania tunapinga mataifa yote, bila kubagua, kujitwalia silaha za nyuklia.

..Nakuunga mkono unaposema Watanzania, wa vyama vyote, bila kubaguana, tuweke utaratibu wa uchaguzi,unaotoa, haki, na fursa sawa, kwa wote wanaotaka kushiriki uchaguzi.
 
apo sasa ndo tupo pamoja, mambo ya sjui nko chadema mwisho tunaishia kuuana kila mtu agombee kupitia chama kinaitwa tanzania na dira ni ile ile sio umejenga SGR uyu anataka katiba mwingine anataka muungano mwingine hataki

- na pia tusichukulie siasa za marekani kama ndo siasa za haki hata trump uraisi hakuupata kirahisi kuna sehem alikoswa shaba, ndo matunda ya demokrrasia haya wenzetu apo juu ndo washaanza kuchoma na kuiba madukan kisa alie chama tafauti katoa kauli tafauti
 
..Trump aliposhambuliwa walinzi wa serikali walijitoa mhanga kumsaidia.

..Mhusika aliyemshambulia Trump aliuwawa na vyombo vya dola.

..pia mkuu wa kitengo cha walinzi wa serikali alilazimika kujiuzulu kutokana na uzembe wa watu wa chini yake.

..Tukirudi Tanzania, walinzi wa serikali waliondolewa ili Tundu Lissu auwawe. Yuko hai kwa kudura za Mungu.

..Wahusika wa vyombo vya ulinzi hawakuchukuliwa hatua zozote, na walikuwa mstari wa mbele, kumzodoa, na kumzushia, Tundu Lissu.

..Uchunguzi kuhusu nani alihusika kumshambulia Tundu Lissu haujafanyika.
 
Awamu ya tano haikutaka kabisa vyama vya upinzani viwepo ndo mana yule jamaa alizuia mikutano yote ya upinzani tukabaki tunalazimishwa kuipenda ccm na ukiwa kinyume tu ama unapigwa risasi au unapotezwa mazima.

Udicator nchini umeanzia kwa jamaa. Jk alipromote sana demokrasia na siasa zilikuwa za kistaarabu mno. Likamaa lilivyoingia kwanza likqqmza kumchapa masisi lisu lengo ikiwa ni kumuua kabisa kuondoa threat kwenye utawala wake.
Ujinga umeanzia kwa Kikwete kisha Magufuri akaja kupanda rasmi mbegu ya UDIKTETA na ubaguzi nchini.
 
..Trump aliposhambuliwa walinzi wa serikali walijitoa mhanga kumsaidia.

..Mhusika aliyemshambulia Trump aliuwawa na vyombo vya dola.

..pia mkuu wa kitengo cha walinzi wa serikali alilazimika kujiuzulu kutokana na uzembe wa watu wa chini yake.

..Tukirudi Tanzania, walinzi wa serikali waliondolewa ili Tundu Lissu auwawe. Yuko hai kwa kudura za Mungu.

..Wahusika wa vyombo vya ulinzi hawakuchukuliwa hatua zozote, na walikuwa mstari wa mbele, kumzodoa, na kumzushia, Tundu Lissu.

..Uchunguzi kuhusu nani alihusika kumshambulia Tundu Lissu haujafanyika.
  • walijitoa mhanga vp wakati walimuua jamaa aliemshambulia trump na pia wiki nyuma kadhaa alishasema kabisa hayupo salama?
  • biden alimfungulia mashtaka ya kuhusiana na tax avoidance mpaka leo ana makesi mengi kisa biden leo hii useme serikali haikua na taarifa huo ni uongo

- tundu lissu sakata lake si slaa alishaandika kitabu kuhusu watekaji waliopo chadema ama hujasoma icho kitabu?
 
..kulikuwa na uchunguzi dhidi ya Trump, na dhidi ya Biden, wakati wakati wakiwa madarakani. Jambo kama hilo haliwezekani hapa Tanzania, na haswa baada ya 2015.

..inawezekana kilichomtokea Lowassa mpaka akajiuzulu uwaziri mkuu, na kilichotokea ktk uchaguzi mkuu, na uchaguzi wa Rais wa Zanzibar, huenda kilipelekea Ccm kuchukua maamuzi ya kufutilia mbali mfumo wa vyama vingi.
 
Awamu ya tano haikutaka kabisa vyama vya upinzani viwepo ndo mana yule jamaa alizuia mikutano yote ya upinzani tukabaki tunalazimishwa kuipenda ccm na ukiwa kinyume tu ama unapigwa risasi au unapotezwa mazima.

Udicator nchini umeanzia kwa jamaa. Jk alipromote sana demokrasia na siasa zilikuwa za kistaarabu mno. Likamaa lilivyoingia kwanza likqqmza kumchapa masisi lisu lengo ikiwa ni kumuua kabisa kuondoa threat kwenye utawala wake.
Kwa hiyo wewe ukiharibu ndo mwenzio aje aendeleze au arekebishe?? 4Rs zilikuwa za nini?? Asiyekuwepo na lake halipo. Hili ni chaka la kujifichia, alianza vzr mkamsifu sasa kanogewa uongoz lawama zinarudi kwa mtangulizi.
 
..kulikuwa na uchunguzi dhidi ya Trump, na dhidi ya Biden, wakati wakati wakiwa madarakani. Jambo kama hilo haliwezekani hapa Tanzania, na haswa baada ya 2015.

..inawezekana kilichomtokea Lowassa mpaka akajiuzulu uwaziri mkuu, na kilichotokea ktk uchaguzi mkuu, na uchaguzi wa Rais wa Zanzibar, huenda kilipelekea Ccm kuchukua maamuzi ya kufutilia mbali mfumo wa vyama vingi.
- Taarifa za chini zinasema alikua pandikizi la kagame, cha ajab chadema wakaja kumchukua na kumsafisha 🤣 🤣, hili lichama kuna mda linahitaji reform kubwa sana ndan
 
Back
Top Bottom