we hata huelewi dunia ikoje, skiliza hiki kipengele cha lissu anaeleza jinsi ya kushinda uchaguzi marekanUle ni mfumo mzuri mno sawa na south africa ambapo rais anachaguliwa indirectly na wananchi kupitia wabunge. I admire ule mfumo na unawesekana tu kwa nchi zenye demokrasi ambapo hakuna wizi. Ingekuwa huku tungebariki idictator wa kukaa madarakani forever kama alivyotaka jpm aongoze mpaka malaika mbinguni
ivi nyie ndo mnakaaga mnaambiana kwamba kura za wamarekani ndo zinachagua raisi wa marekan 🤣 🤣 🤣Ule ni mfumo mzuri mno sawa na south africa ambapo rais anachaguliwa indirectly na wananchi kupitia wabunge. I admire ule mfumo na unawesekana tu kwa nchi zenye demokrasi ambapo hakuna wizi. Ingekuwa huku tungebariki idictator wa kukaa madarakani forever kama alivyotaka jpm aongoze mpaka malaika mbinguni
Mi nazungumzia demokrasia. Kitendo cha trump kushinda urais bila dola hiyo ndo demokrasia. Tanzania haiwezekani ispokuwa kenya tu. Ruto alishinda urais bila dolawe hata huelewi dunia ikoje, skiliza hiki kipengele cha lissu anaeleza jinsi ya kushinda uchaguzi marekan
View: https://youtu.be/uuCyN8MHBn8?t=4775anzia apo apo video inapoanza
Lijamaa lilikuwa hatari sanaAwamu ya tano haikutaka kabisa vyama vya upinzani viwepo ndo mana yule jamaa alizuia mikutano yote ya upinzani tukabaki tunalazimishwa kuipenda ccm na ukiwa kinyume tu ama unapigwa risasi au unapotezwa mazima.
Udicator nchini umeanzia kwa jamaa. Jk alipromote sana demokrasia na siasa zilikuwa za kistaarabu mno. Likamaa lilivyoingia kwanza likqqmza kumchapa masisi lisu lengo ikiwa ni kumuua kabisa kuondoa threat kwenye utawala wake.
Kwanini aliye chukua asirekebishe. Kama ni kweli kauli yako na chawa wakoAwamu ya tano haikutaka kabisa vyama vya upinzani viwepo ndo mana yule jamaa alizuia mikutano yote ya upinzani tukabaki tunalazimishwa kuipenda ccm na ukiwa kinyume tu ama unapigwa risasi au unapotezwa mazima.
Udicator nchini umeanzia kwa jamaa. Jk alipromote sana demokrasia na siasa zilikuwa za kistaarabu mno. Likamaa lilivyoingia kwanza likqqmza kumchapa masisi lisu lengo ikiwa ni kumuua Kabisa kuondoa threat kwenye utawala wake.
badala ya kuskiliza videeo unaropoka apo kuna sehem yoyote lissu kasema raisi wa marekani anachaguliwa kwa kura?Mi nazungumzia demokrasia. Kitendo cha trump kushinda urais bila dola hiyo ndo demokrasia. Tanzania haiwezekani ispokuwa kenya tu. Ruto alishinda urais bila dola
Kwani rais wa marekani anachaguliwa mbinguni. Basi wamerekani wasingekuwa wanapiga kuwa mana ni wastage of time. Wamarekani wanafurika kupiga kura kila baada ya miaka minne. Wale wana akilj they know how it works.ivi nyie ndo mnakaaga mnaambiana kwamba kura za wamarekani ndo zinachagua raisi wa marekan 🤣 🤣 🤣
Kwa hiyo wamarekani wanapoteza muda kuchagua rais. Si wangekuwa hawajitokezi sasa mana ni wastage of timebadala ya kuskiliza videeo unaropoka apo kuna sehem yoyote lissu kasema raisi wa marekani anachaguliwa kwa kura?
🤣 🤣 poor you! badala uskilize video hio unaropokaKwani rais wa marekani anachaguliwa mbinguni. Basi wamerekani wasingekuwa wanapiga kuwa mana ni wastage of time. Wamarekani wanafurika kupiga kura kila baada ya miaka minne. Wale wana akilj they know how it works.
demokrasia kwa ajili ya maskini hakuna nchi ilioendelea inakumbatia demokrasia! ni nyie tu mnapoteza mda kila mwana siasa ana agenda binafsi ama ya kundi fulani anatakiwa kutimiza amna sku maskini watachagua mtu atakuja kuwasaidia, "ukiwa nacho unaongezewa usipokua nacho ata kile kidogo kinabebwa"Kwa hiyo wamarekani wanapoteza muda kuchagua rais. Si wangekuwa hawajitokezi sasa mana ni wastage of time
Kinyume chake kuna nchi iliyoendelea kwa kuongozwa na dictator zaidi ya mauaji tu. Ngoja samia aamue kuwa dictator tuone kama utafurahidemokrasia kwa ajili ya maskini hakuna nchi ilioendelea inakumbatia demokrasia! ni nyie tu mnapoteza mda kila mwana siasa ana agenda binafsi ama ya kundi fulani anatakiwa kutimiza amna sku maskini watachagua mtu atakuja kuwasaidia, "ukiwa nacho unaongezewa usipokua nacho ata kile kidogo kinabebwa"
Mi siyo naive wala tabulalasa dogo. Najua mi mimi mwenyewe siyo lazima nisikilize mtu mweye uelewa sawa na mimi au namzidi. Naelewa mwenyewe sihitaji kuelezwa na mtu. Siyo lazima kila anachosema lisu is always right. I dont buy this idea🤣 🤣 poor you! badala uskilize video hio unaropoka
mm sio mfuasi wa vyama vingi, lakini siungi mkono mauaji ila ata mm ningekua president ni mwendo wa xi jin pingKinyume chake kuna nchi iliyoendelea kwa kuongozwa na dictator zaidi ya mauaji tu. Ngoja samia aamue kuwa dictator tuone kama utafurahi
mpaka sasa huelewi siasa za marekani means bado upo mchanga kwenye siasa kama lissu aliepo upinzan anaelewa kinachoendelea na wewe unasema unajua kuliko yeye, kwa lugha nyepesi unapoteza mda kama siasa ndo unazifikiriaga ivo kwamba wengi wapate mwishowe utakua kama wanachadema walivo mtu akihama mnamtukanaMi siyo naive wala tabulalasa dogo. Najua mi mimi mwenyewe siyo lazima nisikilize mtu mweye uelewa sawa na mimi au namzidi. Naelewa mwenyewe sihitaji kuelezwa na mtu. Siyo lazima kila anachosema lisu is always right. I dont buy this idea
Africa haina maendelea kwa sababu hamna demokrasia. Angalu south africa yenye demokrasia maendeleo yanaonekana. Hakuna nchi ya kidictatir yenye maendeleo ni mateso tu kwa watu ambao rais anahisi ni threat kwa kwa uongozi wake kama ilivyo kagame anaua wapinzani wake kila sikumpaka sasa huelewi siasa za marekani means bado upo mchanga kwenye siasa kama lissu aliepo upinzan anaelewa kinachoendelea na wewe unasema unajua kuliko yeye, kwa lugha nyepesi unapoteza mda kama siasa ndo unazifikiriaga ivo kwamba wengi wapate mwishowe utakua kama wanachadema walivo mtu akihama mnamtukana
Kitendo cha kuchukua makada na wajinga wajinga na kuwaingiza kwenye Ubunge, Serikali za mitaa ndio kumefanya leo mpaka Dotto Magari anagombea Ubunge.Awamu ya tano haikutaka kabisa vyama vya upinzani viwepo ndo mana yule jamaa alizuia mikutano yote ya upinzani tukabaki tunalazimishwa kuipenda ccm na ukiwa kinyume tu ama unapigwa risasi au unapotezwa mazima.
Udicator nchini umeanzia kwa jamaa. Jk alipromote sana demokrasia na siasa zilikuwa za kistaarabu mno. Likamaa lilivyoingia kwanza likqqmza kumchapa masisi lisu lengo ikiwa ni kumuua kabisa kuondoa threat kwenye utawala wake.
south imeendelea toka kitambo kabla hata mandela hayatoka tayar wazungu walishaweka makazi na kuanzisha biashara zaoAfrica haina maendelea kwa sababu hamna demokrasia. Angalu south africa yenye demokrasia maendeleo yanaonekana. Hakuna nchi ya kidictatir yenye maendeleo ni mateso tu kwa watu ambao rais anahisi ni threat kwa kwa uongozi wake kama ilivyo kagame anaua wapinzani wake kila siku
we hata huelewi dunia ikoje, skiliza hiki kipengele cha lissu anaeleza jinsi ya kushinda uchaguzi marekan
View: https://youtu.be/uuCyN8MHBn8?t=4775anzia apo apo video inapoanza