Chanzo cha demokrasi kuharibika nchini ni awamu ya tano

..lakini size ni muhimu pia.

..Rwanda inalingana na baadhi ya mikoa ya Tanzania.

..Rwanda hawana mlango wa bandari.

..Watanzania tutakuwa wapumbavu kiasi gani kuihofia Rwanda kijeshi?
 
..lakini size ni muhimu pia.

..Rwanda inalingana na baadhi ya mikoa ya Tanzania.

..Rwanda hawana mlango wa bandari.

..Watanzania tutakuwa wapumbavu kiasi gani kuihofia Rwanda kijeshi?
maisha sio marahisi ivo kijana, bongo ndogo kuliko congo
 
maisha sio marahisi ivo kijana, bongo ndogo kuliko congo

..sisi sio failed state kama DRC.

..jeshi la Tanzania lipo tangu mwaka 1964.

..hatuna sababu ya kuogopa kijeshi nchi kama Rwanda.

..mimi si mshabiki wa Ccm, lakini siamini kama Amiri Jeshi Mkuu, Waziri wa ulinzi, Cdf, Cos, Cmi, ni wazembe kiasi cha kupelekea Tanzania kuzidiwa kijeshi na Rwanda.
 
unazidiwa vizuri sana hata vita ya uganda, amin alikuja kupata msaada wa libya tulipigwa sana na kupoteza wanajeshi wengi kilichotuokoa ni wananchi wa uganda walitoa ushirikiano adui wapo wap na pia museven nae alikua upande wetu ila hali ilikua mbaya masaka, pia kuna taarifa wanajeshi wetu wengi walizkwa uuko uko uganda haswa kwenye milima ya simba
 
Wengi hamjui. Tanzania imeenza kuvurugika kipindi cha Kikwete. Kwa namna yoyote, ilikuwa ni kosa kubwa kabisa kumchagua Kikwete aliyetumia fedha nyingi kununua urais na kumwacha Salim. Kikwete aliingia na majizi mengi yasiyo na aibu na elimu ndogo.
 
..tulipigwa sana lakini mwisho wake Amin na rafiki zake Walibya walikimbia nchi!!🤣🤣
 
Wengi hamjui. Tanzania imeenza kuvurugika kipindi cha Kikwete. Kwa namna yoyote, ilikuwa ni kosa kubwa kabisa kumchagua Kikwete aliyetumia fedha nyingi kununua urais na kumwacha Salim. Kikwete aliingia na majizi mengi yasiyo na aibu na elimu ndogo.

..awamu ya 5 ina mchango wake kwa haya yanayoendelea.

..wamejenga Sgr, mradi wa umeme, daraja la kigongo-busisi, wamenunua ndege, lakini pia wamewezesha genge linaloteka, na kuuwa, raia.
 
Wanaume uwa hawaangalii yaliopita, wanapambana na yaliopo na yajayo. Hio awamu ya 5 ni historia tu sasa.
 
at a huge cost

..jeshi letu lilikuwa na nidhamu, ujasiri,mbinu na mipango mizuri, kuliko jeshi la Amin, Walibya, na Wapalestina.

..kukomboa nchi nzima, kusimika serikali mpya, na baadae kurudisha majeshi nyumbabi, nchi chache sana zimefanikiwa kama tulivyofanikiwa sisi.

..makamanda waliopiganisha vita Uganda, wanastahili heshima kubwa, na kukumbukwa na Watanzania.
 
..awamu ya 5 ina mchango wake kwa haya yanayoendelea.

..wamejenga Sgr, mradi wa umeme, daraja la kigongo-busisi, wamenunua ndege, lakini pia wamewezesha genge linaloteka, na kuuwa, raia.
Mkuu hili ni wazi. Mimi nimesema ''genesis'' ya Tanzania kuingia kwenye hali mbaya kiuongozi. Magufuli na Samia hawa ndiyo kabisaa ila chanzo ni Kikwete. Nina imani kubwa kuwa angeingia Salim, basi tusingekuwa hapa tulipo leo hii na pengine katiba nzuri zaidi tungeshaipata. Hakuna namna Samia angekuwa hata makamu wa rais na pia Magufuli asingekuwa rais.
 
si ndo wamewekewa skukuu ya mashujaa
 
..kila Rais anapochukua uongozi anakutana na changamoto fulani.

..suala ni kama anaipatia majawabu, au anazidisha makosa.

..MAGUFULI aliwafundisha Watanzania CHUKI, na ROHO YA KINYAMA.

..sasa hivi tunataabika kwasababu yake.
 
Kila mtu ana mtazamo wake, wewe unaona tatizo ni Magufuli ila mwengine anaona tatizo ni Kikwete na mwengine anaona ni Nyerere.
 
Mia mia sahihi ✔️
 
faida za demokrasia ni kugawanya watu katika makundi ya kupigana haijawahi kua na faida, na demokrasia ikizidi sana uhalifu unashamiri
Ukiona MTU anahubiri kuilinda na kuipigania Demokrasia, ujue huyo ni mbumbumbu kichwani, Hamnazo ni Mlishwa maneno.
 
Fact....jiwe hakuwa mtu wa kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…