Kama mikate haiwezi kujua mwanzo wake ni nini, itaanzaje kusema ina mwanzo?
Kama hujui mwanzo wa dunia ni nini, Utasemaje kuna mwanzo?
Kwa nini Unadhani, Mwanzo upo?
Kwa nini Hudhani, Mwanzo haupo?
Kama mwanzo lazima uwepo, Je mwanzo wa mwanzo ni nini?
Mwanzo wa dunia na maisha upo,,,,sababu.
1. Jinsi dunia na maisha yalivyosukwa kwa mipangilio ambayo hakuna uwezekano ukatokea kwa bahati mbaya,,,, ntakupa maelezo na mifano michache Tazama viumbe wote, mpangilio wa maisha yao kuzaliwa, kuzaliana, kula, kukua na kufa kwao,,, ni vitu vilivyopamgiliwa kwa mtiririko sahihi, hakuna uwezekano ikatokea kwa bahati mbaya.
2. ntarejea mfano wAngu wa mikate na muokajiiii,,,, mikate imepewa uwezo wa kutambua kwamba imetengenezwa au imeletwa ila haijapewa njia au uwezo wa uhakika Nani kaitengeneza na kwa vipi imetengenezwa,,,, ni sawa na sisi binadamu hatuna jibu la uhakika Mwanzo wetu, ila tunajua tuna Mwanzo.