Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Sawa, lakini kilichosababisha moyo kushindwa kazi ni corona!
Hayo umetunga wewe , bali taarifa kutoka kwenye vyanzo vya uhakika ni hiyo unayoionaSawa, lakini kilichosababisha moyo kushindwa kazi ni corona!
Ajuaye MolaNinachotaka kujua ni kimoja tuu.
NANI ANAFUATA....
wew ndiye unafataNinachotaka kujua ni kimoja tuu.
NANI ANAFUATA....
who knows, maybe you.Ninachotaka kujua ni kimoja tuu.
NANI ANAFUATA....
ungekuwa daktar sawaaBasi Corona na aheshimiwe na watu wote
Kwa mtu mzito kama yeye angekimbizwa chapu hospitali ya moyo JK Dar na asingeachwa afie Benjamin Mkapa Dodoma.Hayo umetunga wewe , bali taarifa kutoka kwenye vyanzo vya uhakika ni hiyo unayoiona
Na iwe hivyo, Mola anene na waja wake kupitia MUDA.Ajuaye Mola
comment yako apo inakuajeIla wanaozidiwa na maswala ya moyo wengi wao hupelekwa JKCI
Kwaheri mkuu, zingatia tahadhari zote tajwa za kujikinga na COVID_19.wew ndiye unafata
fanya kuaga vizur
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa, lakini kilichosababisha moyo kushindwa kazi ni corona!
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu ofisi ya Rais Utumishi , Dr Laurian Ndumbalo imeeleza kwamba Mh Kijazi amefariki kutokana na Matatizo ya Moyo .
Chanzo : MwanaHalisi TV
View attachment 1707485