Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

mbona ni simple sana au katika imani yako hamjafundishwa
Ulimi huumba sasa unapotamka jambo unaumba jambo
“Mwamini Mungu, lakini mfunge vizuri Ngamia wako”-Mtume Muhammad S.A.W

Mungu huwa halipi maombi bali hulipa jitihada!Kupiga maombi ya nguvu wakati hakuna mipango wala hatua(Actions) sahihi,stahiki na madhubuti za kupambana na Corona ni kumkejeli Mungu.Ukimkejeli Mungu tarajia mapigo saba ya ghadhabu ya Mungu.
 
kuhusu kujiki

nga hatujaambiwa pia
Wizara imesema au la?
 
Ndumbaro amekata mzizi wa fitina.

Chadema macho kodo!

Upande wa pili:

IMG_20210218_174254_207.jpg

Mko vizuri bwashee.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Hii habari mbaya kwenye mioyo wa wanaharakati.........rais atangaze tu hali ya hatari maana hakuna namna
 
Unaelewa maana ya hatua madhubuti?
Unataka wakuletee hatua hizo nyumbani
mbona mambo yanaeleweka ila watanzania tunaakili za kuchomwa sindano ilikuboost akili zetu
Taarifa hii haina msaada wowote kwa Watanzania wakiwemo wanafamilia.

Wote tuendelee kuchukua tahadhari juu ya corona, ndio ugonjwa kwa sasa unaowachukua wapendwa wetu wengi. Tuwadharau wanafiki wanaopenda kuficha tatizo. Huo ujinga tuwaachie wao.
na ikumbekwe sio kila nayekufa saivi ni Corona
 
Unataka wakuletee hatua hizo nyumbani
mbona mambo yanaeleweka ila watanzania tunaakili za kuchomwa sindano ilikuboost akili zetu

na ikumbekwe sio kila nayekufa saivi ni Corona
Unaelewa kuwa vijijini huko hawana elimu yoyote kuhusiana na Corona?Unaelewa kuwa vijijini huko mtu akifa kwa Corona wanafichwa kuwa amekufa kwa Corona matokeo yake wanaenda kuzika bila tahadhari yoyote ile na kuishia kupukutika kama Nzige waliopigwa sumu kupitia Helcopter?Ni punguani peke yake ndiye anaweza kuamini kuwa serekali haina wajibu wowote ule katika kutoa miongozo na elimu pamoja na kusimamia miongozo hiyo!
 
tuanzie hapa
nani amepeleka vijijini?
 
Back
Top Bottom