Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

Dakta Ndumbaro, hayo majibu ya mfukoni akae nayo, Corona inaua chukua tahadhari kama walivyofanya familia ya Kijazi kuanzia mama mwenye nyumba hadi mjukuu full Barakoa.
si kwamba wanajikinga na magonjwa ya moyo ?
 
Hiyo inaitwa symptomatic diagnosis, maana mtu yoyote anayekufa moyo wake husimama kusukuma damu na hilo pia linakuwa tatizo la moyo kushindwa kuendelea kusukuma damu...kwa hiyo matatizo ya moyo is so broad, wanatakiwa kwenda hatua zaidi kutoa definitive au etiological diagnosis.
 
Umempima jombaaa au unareta story za kwenye vijiwe vya kahawa
Habari tuliyopewa mara baada ya kifo chake ni kuwa alifariki kwa kushindwa kupumua yaani corona, haya tunayoambiwa sasa ni porojo za kuficha ukweli.
 
Habari tuliyopewa mara baada ya kifo chake ni kuwa alifariki kwa kushindwa kupumua yaani corona, haya tunayoambiwa sasa ni porojo za kuficha ukweli.
Prove.........ukishindwa Anza kuchambia tango maana utakuwa umeuanza ugosha
 
Upuuzi wa kuzua uongo huwa unawaaibisha sana akina tindo na minyoo

Nimecheka kwa nguvu, kweli ww ni bonge la kilaza, Mkuchika yuko India mpaka leo, mbona hakupelekwa Dodoma kutibiwa? Na isitoshe wagonjwa wa moyo wanapelekwa Dodoma na sio Taasisi ya Moyo ya Jakaya? Nadhani kwa maelezo haya umejua kuwa ww ni wale mnaoburuzwa huko ccm, kwakuwa uwezo wenu wa kujiuliza uko chini.
 
Back
Top Bottom