Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

Wewe na mimi hatuna hakika kuwa corona ndiyo imesababisha matatizo ya kufa kwake kwa moyo. Maelezo ya daktari ndiyo ya mwisho kama mtaalam.

Rekebisha hapo:

"Maelezo ya jiwe ndiyo ya mwisho kama Mungu mtu."

Mungu hoyeee!
 
Hata ww waweza kufuata,mbna mnaogopa kifo hvyo huku mkitaka kuwa viongozi wa malaika?????
Nadhani baba yako au mama yako. Kati ya hao wawili mmojawapo itafaa akifuata.

Watu wapo kwenye majonzi unauliza upumbavuuu. Kama kufiwa ni jambo jema ngoja wafuate wazazi wako.
 
Wakubwa wakifa hata kwa kovidi watasema kafa kwa kisukari ila wasukuma mikokoteni wakifa moja kwa moja ni kovid.

Naona ubaguzi still unaendelea duniani. Kovidi kaja kuondoa tabaka la ubaguzi kati walichonacho na wasionacho, wasio wenzetu wanaendelea na ubaguzi huo.

Wote ni manzi ga nyansa. Kwa kovidi hii
 
Nadhani baba yako au mama yako. Kati ya hao wawili mmojawapo itafaa akifuata.

Watu wapo kwenye majonzi unauliza upumbavuuu. Kama kufiwa ni jambo jema ngoja wafuate wazazi wako.
Serikali iache mzaha na ichukue hatua stahiki, kupambana na hili janga yahitajika umoja & mshikamano wa kimataifa.
"No one is safe, until all are safe" Dr. Tedros, (WHO)
 
Wewe na mimi hatuna hakika kuwa corona ndiyo imesababisha matatizo ya kufa kwake kwa moyo. Maelezo ya daktari ndiyo ya mwisho kama mtaalam.
Wewe ni mpuuzi kama wengine! Taarifa ya kwanza ilitolewa na daktari kuwa amekufa kwa corona, taarifa ya pili iliyotolewa na wanasiasa ikasema amekufa kwa matatizo ya moyo! Sasa amua mwenyewe ipi ni taarifa sahihi
 
😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom