Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

Kwa mujibu wa takwimu vifo Tanzania Mwaka 20/21 vifo ni 6.155% ya watu milioni 60, ambayo ni sawa na watu 3,693,000 wanafariki kwa mwaka. Hii sawa na watu 10200 wanakufa kwa siku kabla ya COVID 19. Usiulize nani anafuata. Bahati nzuri ni kwamba hata CORONA hupitia walioko njiani kwenda kwa Mungu. Watu wanaokufa kwa corona without other health complications ni ya o.5%.
Huu ni ukweli mchungu amabao pessimists hawapendi kuusikia. Nasubiri matusi yao
Nani umemsikia au kumuona akisema hapo nyuma watu walikuwa hawafi?
 
Wamegundua baada ya Magufuli kuhudhuria msiba.. Imeisha hiyoo..
Internal conflict.ndo inayosumbua watu ....mmeweka matarajio ya majibu ya vifo vyote vinavotokea kwa sasa,ndani ya bongo zenu.majibu yote yawe ni Yale mliyo feed kwa brain zenu.ikija tofauti mna conclude ni cooked info.

Can we keep concluding COVID for each & every death happens!!!?? u guys.!!!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Ninachotaka kujua ni kimoja tuu.
NANI ANAFUATA....
Nadhani baba yako au mama yako. Kati ya hao wawili mmojawapo itafaa akifuata.

Watu wapo kwenye majonzi unauliza upumbavuuu. Kama kufiwa ni jambo jema ngoja wafuate wazazi wako.
 
Internal conflict.ndo inayosumbua watu ....mmeweka matarajio ya majibu ya vifo vyote vinavotokea kwa sasa,ndani ya bongo zenu.majibu yote yawe ni Yale mliyo feed kwa brain zenu.ikija tofauti mna conclude ni cooked info.

Can we keep concluding COVID for each & every death happens!!!?? u guys.!!!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
kiingereza kizuri hadi umemzidi mfalme !
 
Sawa, lakini kilichosababisha moyo kushindwa kazi ni corona!
Wewe na mimi hatuna hakika kuwa corona ndiyo imesababisha matatizo ya kufa kwake kwa moyo. Maelezo ya daktari ndiyo ya mwisho kama mtaalam.
 
Back
Top Bottom