Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

Wakubwa wakifa hata kwa kovidi watasema kafa kwa kisukari ila wasukuma mikokoteni wakifa moja kwa moja ni kovid.

Naona ubaguzi still unaendelea duniani. Kovidi kaja kuondoa tabaka la ubaguzi kati walichonacho na wasionacho, wasio wenzetu wanaendelea na ubaguzi huo.

Wote ni manzi ga nyansa. Kwa kovidi hii
Inawezekana watawala wetu wanaamini wakisema mtu hajafa kwa Covid, aliyekufa atakwenda Mbinguni!

Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom