Kwani Serikali imesemajeWanachofanya hii serekali haramu iliyofitinika na kukosa kibali machoni pa Mungu, ambayo imeingia madarakani kwa kuiba kura ni kutaka kutatua tatizo la Corona kwa kujidanganya kuwa halipo kitu ambacho ni kupalilia tatizo!View attachment 1707503