Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

Kwa mwanaume huna haja ya kumnunua mke.akinuna wewe mchangamshe km hivi.ukiingia ndani mkamate kisawasawa kula denda la nguvu,shuka ktk shingo yake pitisha limi laini njoo mpaka ktk ziwa la kuliani nyonya kisawasawa huku mkono wa kushoto ukipitisha ktk bapa la k...m yake .ukishaona dalili za ulegevu chukua dusheshe lako .ingiza ktk maku yake .jitahidi kukata mabuno kwa spidi ya ajabu .jitahidi kukata mauno hapo kisawasawa .hapo utakuwa umemaliza ugomvi
 
Interesting topic. Kila ndoa ina mambo yake ila hili jambo ni somehow common, hasa kwa young couples.

Hata mimi hutokea mara moja moja. Na unakuta ni kitu kidogo sana. Mfano anakusemesha wewe unasoma gazeti, unatumia simu au unaangalia tv design umejisahau kidogo tu akastukia humsikilizi! Weee! jaribu kusema endelea nakusikia uone! Tayari kapiga kimya anazungusha macho tu😀 amesha-mute.

Maana yake nini? Jibu ni rahisi, mwanamke anapenda kupendwa na upendo uonekane, kumjali, kuwa gentle na zaidi kumsikiliza. Hawa viumbe wameumbwa na uwezo wa kuongea. Sasa wewe msikilize tu na uwe pamoja naye. Akikosea, kumpiga sio solution, mwambie ukweli na kwa upendo.

Upendo haujawahi kushindwa.

Mume ishi kwa akili na mkeo na umpende, mke ameambiwa amtii mume wake. Hii formula ukiigeuza tu lazima mgombane. Kutii ni kutii kweli sio kubembelezana kutii, ni kuelimisha na ku-enforce.

Nakumbuka kuna mzee aliwahiniambia ndoa inahitaji sana uwe mwepesi kutumia maneno haya mawili kwa kumaanisha: SAMAHANI na ASANTE, very powerful words.
 
Kwa mwanaume huna haja ya kumnunua mke.akinuna wewe mchangamshe km hivi.ukiingia ndani mkamate kisawasawa kula denda la nguvu,shuka ktk shingo yake pitisha limi laini njoo mpaka ktk ziwa la kuliani nyonya kisawasawa huku mkono wa kushoto ukipitisha ktk bapa la k...m yake .ukishaona dalili za ulegevu chukua dusheshe lako .ingiza ktk maku yake .jitahidi kukata mabuno kwa spidi ya ajabu .jitahidi kukata mauno hapo kisawasawa .hapo utakuwa umemaliza ugomvi

Ahahahahahahahaha ayiiii we DUME kweli
 
Mi nawashangaaga hao vinuni. Eti mwingine anajisifia kabisa huko fesbuku eti "naweza kununa wiki nzima" Sijui ni ndoa za kulazimishwa!!!!?
 
Suluhisho ni kujishusha na kuomba hekima kwa mungu,kwa maana hata vitabu vya dini vimesema tuishi na mwanamke kwa akili

Hapo sawa. Kuna mambo madogo madogo ya kumwachia mke 'ashinde' hata kama kuna hasara ndogo kwako mume (mfano mpangilio wa furniture nyumbani). Hii itakupa nguvu kwa baadae kuweka msimamo thabiti kwenye mambo mazito na ya msingi.
Kuna mambo magumu ambayo mume kama kiongozi wa familia anatakiwa kuyatolea uamuzi. Mke anaweza kutoa ushauri mbadala kwa mume, lakini sio kukiuka au kupinga.
Kwenye arguments ndogo ndogo, mke ndiye mwenye neno la mwisho. Mume akiongeza neno hapo ugomvi haujaisha.

Ili mke atii, mume awe msikivu kwa mkewe na kuufanyia kazi ushauri anaopewa na mke. Kama mume hakubaliani na ushauri basi aeleze kwanini kama zipo sababu za msingi. Wake wameumbwa kuwa wasaidizi kwetu waume - sasa kabla ya kuukataa ushauri toka kwao, ni vyema mume akautafakari kirefu na kwa kina.

mwanamke akikosa mwanaume hautakiwi kujishusha, anayetakiwa kujishusha ni mwanamke na si mwanaume. ukiona mwanaume anajishusha kwa mkewe huyo kaolewa au bwabwa. utajishushaje kwa mwanamke, ina maana mwanamke yuko juu yako? we jamaa sijui unaongea nini. wanawake ni wadhaifu sana ukiona amefanikiwa kukupanda kichwani na wewe ukapandika hakika anaweza kufanya madudu ya ajabu hadi utashangaa na atakudharau kwanza. ukiona hauna uwezo wa kumtawala mkeo wewe umeolewa.

Again nitaita huu ushamba : kujishusha kila mtu ana jukumu la kujishusha si Mke si Mume ; It takes two to make it work.
Kusema kujishusha ni kuolewa ni INFERIORITY COMPEX tena in Advanced stage. Kama unaamini hoja zako zimenyooka , una ushawishi wa kutosha na wewe ni MAn enough kwa nini uhofu utaitwa "bwaba"

Mke hatawalili na wala mume hatawaliwi - wote wana maridhiano ya kuishi kwa kusaidiana sio kutawalana. Siku zote huwa nasema (just a personal idea) mwanaume ambaye ana taka kila saa ajulikane kama yeye mwanaume, anamwambia mkewe , Unajua mi nani humu ndani, anawaambia watoto "Unajua mimi ni nani" ni dalili kubwa ya inferiority complex .

Anyway all these arguments depends on how you grew up, what u believe and your attitude in relationships/ marrige.

Hakuna haja ya kumtawala mke anayetii na kumheshimu mumewe. Mke anayetambua mamlaka ya mume wake umtawale kwa sababu gani?
 
Mimi ni mgeni jamvini lakini ni muuini mzuri mzuri wa jf. Nawataka mnisaidie katika hili. Inawezekana mume akamnunia mkewe kwa miezi mitano na zaidi? Wanalala kitanda kimoja na kuishi nyumba moja bila mgegedo? Nisaidieni jamani.
 
Duh... labda amepewa masharti na Mganga.
 
Mimi ni mgeni jamvini lakini ni muuini mzuri mzuri wa jf. Nawataka mnisaidie katika hili. Inawezekana mume akamnunia mkewe kwa miezi mitano na zaidi? Wanalala kitanda kimoja na kuishi nyumba moja bila mgegedo? Nisaidieni jamani.

MIEZI MITANO?!,SIKU TANO TU LINAKUWA NI TATIZO KUBWA!Huyo mke asihesabu ana ndoa hapo.Anamwanaume na simumu tena munyaruganda
 
Last edited by a moderator:

labda kama mke alilazimishwa kumuoa
 
Mimi ni mgeni jamvini lakini ni muuini mzuri mzuri wa jf. Nawataka mnisaidie katika hili. Inawezekana mume akamnunia mkewe kwa miezi mitano na zaidi? Wanalala kitanda kimoja na kuishi nyumba moja bila mgegedo? Nisaidieni jamani.

Ndio maana my baby ni rafiki yangu mkubwa zaidi ya mpenzi.......he is my partner in every crime.......tupo wazi kiasi ambacho akiona hata upindo wa kola haujatulia lazima anitoe nishai.......same here.......so swala la kununiana lipo mbali sana na sisi.......unaanzaje kwanza.......
 
Na nikijaribu kujishusha ananinanga wee mpaka naumia. Siku zote ananifanya nionekane tatizo liko kwangu. Najishusha ili maisha yasonge lakini analazimisha mgogoro unakuwepo. Miaka 13 sasa ya ndoa , mwendo ndo huo. Nisaidie nifanye nini maana tumezaa watoto watatu.
 
Mimi ni mgeni jamvini lakini ni muuini mzuri mzuri wa jf. Nawataka mnisaidie katika hili. Inawezekana mume akamnunia mkewe kwa miezi mitano na zaidi? Wanalala kitanda kimoja na kuishi nyumba moja bila mgegedo? Nisaidieni jamani.

Pole mwaya kwa yaliyokukuta. Kwani chanzo cha kununa huko ni nini. Kama umekosea si uombe msamaha yaishe.
 
Na nikijaribu kujishusha ananinanga wee mpaka naumia. Siku zote ananifanya nionekane tatizo liko kwangu. Najishusha ili maisha yasonge lakini analazimisha mgogoro unakuwepo. Miaka 13 sasa ya ndoa , mwendo ndo huo. Nisaidie nifanye nini maana tumezaa watoto watatu.

pole jaribu kuongea nae siku akiwa ametuliaaa miaka 13 mmevumilia mengi for the sake of kids usi give up kwa tatizo dogo kama hilo
 
Ndg yangu kununa kwake kama nilivosema mwanzo yeye ni jambo la kawaida. Na kama kuomba msamaha nimeomba saaaaana kamaa unavyoona ni ndani ya miaka 13 maisha yamekuwa ni hayo. Ndo maana niko kwenu kujaribu kutafuta jinsi ambayo pengine sikuwahi kuitafuta
 
Kulikuwa na jirani yetu mmoja alinuniana na mkewe miaka miwili...wakapatana kidogo mke akashika mimba mnuno ukaendelea. Siku imefika ya kujifungua yule baba hata hakushughulika wala kujitikisa..mtoto amefikisha kama mwaka wakarudi tena wakaanza kulala chumba kimoja....haukupita muda yule baba alijiua kikatili mnoo...alijichinga kabisaa akapitisha kisu kwenye shingo yake mwenyewe....! Sina hakika kama yule mama hakusaidia polisi maana baada ya tukio lile nliondoka na sikufuatilia tena hilo suala. Nakushauri uchukue tahadhari mtu kama huyo anaweza kukufanyia kitu kibaya maana picha umeshindwa kuona. Ni mtazamo wangu
 
Back
Top Bottom