Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Kulikuwa na jirani yetu mmoja alinuniana na mkewe miaka miwili...wakapatana kidogo mke akashika mimba mnuno ukaendelea. Siku imefika ya kujifungua yule baba hata hakushughulika wala kujitikisa..mtoto amefikisha kama mwaka wakarudi tena wakaanza kulala chumba kimoja....haukupita muda yule baba alijiua kikatili mnoo...alijichinga kabisaa akapitisha kisu kwenye shingo yake mwenyewe....! Sina hakika kama yule mama hakusaidia polisi maana baada ya tukio lile nliondoka na sikufuatilia tena hilo suala. Nakushauri uchukue tahadhari mtu kama huyo anaweza kukufanyia kitu kibaya maana picha umeshindwa kuona. Ni mtazamo wangu
kununa kwa masaa tu najifikiriaga kuna wengine wengine wananuna miaka miwili?? mtu anaenuna ni hatari sana coz hujui anawaza nn