Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

Kulikuwa na jirani yetu mmoja alinuniana na mkewe miaka miwili...wakapatana kidogo mke akashika mimba mnuno ukaendelea. Siku imefika ya kujifungua yule baba hata hakushughulika wala kujitikisa..mtoto amefikisha kama mwaka wakarudi tena wakaanza kulala chumba kimoja....haukupita muda yule baba alijiua kikatili mnoo...alijichinga kabisaa akapitisha kisu kwenye shingo yake mwenyewe....! Sina hakika kama yule mama hakusaidia polisi maana baada ya tukio lile nliondoka na sikufuatilia tena hilo suala. Nakushauri uchukue tahadhari mtu kama huyo anaweza kukufanyia kitu kibaya maana picha umeshindwa kuona. Ni mtazamo wangu

kununa kwa masaa tu najifikiriaga kuna wengine wengine wananuna miaka miwili?? mtu anaenuna ni hatari sana coz hujui anawaza nn
 
kununa kwa masaa tu najifikiriaga kuna wengine wengine wananuna miaka miwili?? mtu anaenuna ni hatari sana coz hujui anawaza nn

Mtu mnunaji namuogopa kama ukoma.....bora mtu awe mkali sio ananuna
 
Ni kweli kabisa, kuishi na watu kazi kweli, miezi5 ni mingi mno kununiana kwa wanandoa huyo lazima atakuwa na mtu ambaye anamalizia stress zake huko akirudi nyumbani anakuona takataka, wakati mwingine inabidi wamama mkomae, ukiona mwanaume anarudi na hasira wewe unakuwa na hasira mara2, unasema sema ovyo, unasonya ili kumchanganya tu lazima atataka kujua kulikoni then mnuno wote unaisha otherwise kama hakuna mabadiliko chukua hatua kwa nini mtoto wa mwenzio akufanye ukose raha ya maisha.
 
Naendelea kuwasikiliza ushauri wenu ambao mwisho wa siku utanielekeza njia sahihi ya kuelemkea
 
Naendelea kuwasikiliza ushauri wenu ambao mwisho wa siku utanielekeza njia sahihi ya kuelemkea

Hujaelimika ndani ya miaka 13 uje uelimike kwa miezi hiyo mi 5?! Hapa naona kabisa jinsi ngamia anavyopenya kwenye tundu la sindano,
 
Ndio maana my baby ni rafiki yangu mkubwa zaidi ya mpenzi.......he is my partner in every crime.......tupo wazi kiasi ambacho akiona hata upindo wa kola haujatulia lazima anitoe nishai.......same here.......so swala la kununiana lipo mbali sana na sisi.......unaanzaje kwanza.......

huwa mnatoana hadi kamasi kwenye pua??
 
Ninavyisema miezi mitano ni kama mfano tu. Ila jamaa anaweza kununa hata mwaka na zaidi. Ndo maana nikalileta huku. Na anafanya chini juu nisipate hata jinsi ya kuchepuka kwa sababu anajua ukame nnaopata
 
Hii kaz nayo ila tatzo lipo kwake, unajua miez mitano hadi mwaka ni muda mrefu kidogo lazma atakuwa kapoteza sexual talent yake chamcngi pitia pale kwa wamasai buguruni upewe dawa inaitwa mkongoraaa umuekee kwenye chai au kama vp muombe Mzee mkulu akupe doz yake ya tezi jike
 
Hakuna mwanaume anayenuna dunian ila wananyamaza kama jambo hawakubaliani nalo,hilo la kwanza...kwa hiyo huyo mkewe yeye huwa anamsemesha ila mumewe kanyamaza muda wote huo au ni hoja ya upande mmoja uonekane ndo unatatizo??
 
Back
Top Bottom