Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 734
Kwa mwanaume huna haja ya kumnunua mke.akinuna wewe mchangamshe km hivi.ukiingia ndani mkamate kisawasawa kula denda la nguvu,shuka ktk shingo yake pitisha limi laini njoo mpaka ktk ziwa la kuliani nyonya kisawasawa huku mkono wa kushoto ukipitisha ktk bapa la k...m yake .ukishaona dalili za ulegevu chukua dusheshe lako .ingiza ktk maku yake .jitahidi kukata mabuno kwa spidi ya ajabu .jitahidi kukata mauno hapo kisawasawa .hapo utakuwa umemaliza ugomvi
Suluhisho ni kujishusha na kuomba hekima kwa mungu,kwa maana hata vitabu vya dini vimesema tuishi na mwanamke kwa akili
mwanamke akikosa mwanaume hautakiwi kujishusha, anayetakiwa kujishusha ni mwanamke na si mwanaume. ukiona mwanaume anajishusha kwa mkewe huyo kaolewa au bwabwa. utajishushaje kwa mwanamke, ina maana mwanamke yuko juu yako? we jamaa sijui unaongea nini. wanawake ni wadhaifu sana ukiona amefanikiwa kukupanda kichwani na wewe ukapandika hakika anaweza kufanya madudu ya ajabu hadi utashangaa na atakudharau kwanza. ukiona hauna uwezo wa kumtawala mkeo wewe umeolewa.
Again nitaita huu ushamba : kujishusha kila mtu ana jukumu la kujishusha si Mke si Mume ; It takes two to make it work.
Kusema kujishusha ni kuolewa ni INFERIORITY COMPEX tena in Advanced stage. Kama unaamini hoja zako zimenyooka , una ushawishi wa kutosha na wewe ni MAn enough kwa nini uhofu utaitwa "bwaba"
Mke hatawalili na wala mume hatawaliwi - wote wana maridhiano ya kuishi kwa kusaidiana sio kutawalana. Siku zote huwa nasema (just a personal idea) mwanaume ambaye ana taka kila saa ajulikane kama yeye mwanaume, anamwambia mkewe , Unajua mi nani humu ndani, anawaambia watoto "Unajua mimi ni nani" ni dalili kubwa ya inferiority complex .
Anyway all these arguments depends on how you grew up, what u believe and your attitude in relationships/ marrige.
wanawake ki-marangu ni kidomo-kidomo sana yaan usijiloge uoe dada zangu. Mimi mwenyewe ni mmarangu lakini siwataki hata bure.
Mimi ni mgeni jamvini lakini ni muuini mzuri mzuri wa jf. Nawataka mnisaidie katika hili. Inawezekana mume akamnunia mkewe kwa miezi mitano na zaidi? Wanalala kitanda kimoja na kuishi nyumba moja bila mgegedo? Nisaidieni jamani.

Na nikijaribu kujishusha ananinanga wee mpaka naumia. Siku zote ananifanya nionekane tatizo liko kwangu. Najishusha ili maisha yasonge lakini analazimisha mgogoro unakuwepo. Miaka 13 sasa ya ndoa , mwendo ndo huo. Nisaidie nifanye nini maana tumezaa watoto watatu.