KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Lakini EIA hufanywa kabla ya mradi husika kuanza. Hii husaidia kuelewa athari ambazo zinaweza kujitokeza iwapo mradi huo utatekelezwa. Hivyo kabla hata ya kuanza mradi wa Ujenzi wa reli hiyo ilitakiwa EIA report itolewe ili hatua sahihi zichukuliwe. Yawapasa warudi sehemu hiyo na kuirekebisha kabla hayajatokea Maafa ikiwa ni pamoja na tuta hilo la reli kubomoka wakati mvua zikinyesha kwa wingi.Bwawa la Mindu limejaa sana, na likijaa huwa linatema maji(overflow), likiyatema hayo maji ndio yanazagaa mitaani.
Kuna mpango wa kulitanua liwe kubwa zaidi.
SSH, kabla hajazindua treni ya umeme, kwanza aangalie athari za kimazingira za mradi wa reli hiyo (environmental impact assessment).
Haya mambo jiwe alikuwa anakataa kuyafanya, watu wanamshangilia