Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Dah ðŸ˜Ila ametoa 500 millions kwa ajiri ya uchunguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah ðŸ˜Ila ametoa 500 millions kwa ajiri ya uchunguzi
Ni mgeni wa sekta ya madini,na anaongelea issue ya madini kwa mtazamo hasi sana, wawekezaji wote wakubwa na medium scale hutumia leaching methods ku process gold na ni Sodium Cyanide ndio hutumika zaidi as the most common chemical reagent (lixiviant) na sio Mercury as you claimed.Wewe nawe ni mtupu kwenye sekta ya madini. Ni mgodi gani wa mwekezaji unaotumia mercury? Kama hujui, hakuna mgodi hata mmoja wa wawekezaji unaotumia mercury.
Mercury hutumika, tena kwa kiasi kidogosana, na wachimbaji wadogo.
Tulia wewe ....Hii yako ni hypothesis tu, usimbishie makamu wa rais, ana access na information nyingi sana za siri na za wazi.
Nimesema heavy metals Sio lazima iwe mercury PEKEE hata lead inaweza,hata cyanide pia!!Huyu hana utaalam wowote. Ni mgodi gani wa mwekezaji, wewe uliwahi kuambiwa unatumia mercury?
Huyu anazungumziae ti hizo chemicals za kuhifadhia maiti ni volatile, kitu asichokijua ni kuwa toxic material inaweza kuwa volatile ikiwa kwenye open air, lakini haiwezi kuwa volatile ndani ya mwili wa mwanadamu.
Binafsi napinga kauli ya makamu wa Rais kuhusu chanzo cha saratani kanda ya ziwa kuwa maji ya maiti yenye chloroform.
Ni heavy metals pekee kama mercury, lead, zinc na nyinginezo ambazo zinaweza kukaa kwa muda mrefu kwenye maji na ardhini hadi kuyeyuka kwenye maji na kudhuru watumiaji wa maji hayo...
Kilichotokea kule nyamongo hadi watu kubabuka ngozi ilikuwa ni nini kama siyo kemikali za migodini kuingia kwenye vyanzo vya maji kwa matumizi ya binadamu, acheni kuleta siasa kwenye maisha ya watu..Ni mgeni wa sekta ya madini,na anaongelea issue ya madini kwa mtazamo hasi sana, wawekezaji wote wakubwa na medium scale hutumia leaching methods ku process gold na ni Sodium Cyanide ndio hutumika zaidi as the most common chemical reagent (lixiviant) na sio Mercury as you claimed.
Kingine moja ya legal requirement kwa processing plant ni kuwa na Tailing Storage facility (Tsf) ambalo ni bwawa kwa ajili ya kuhifadhia taka za mgodini (including chemicals), hakuna mahali unaweza ona chemicals zinasambaa ovyo kwenda ziwani.
Bangi hujaacha tu 🤣🤣🤣🤣Yanafaa kutengenezea juice
Hakuna mgodi mkubwa unayotumia mercury kuchakata madini. Inaonekana mwandishi na wewe unapengo ubongoni.Binafsi napinga kauli ya makamu wa Rais kuhusu chanzo cha saratani kanda ya ziwa kuwa maji ya maiti yenye chloroform.
Ni heavy metals pekee kama mercury, lead, zinc na nyinginezo ambazo zinaweza kukaa kwa muda mrefu kwenye maji na ardhini hadi kuyeyuka kwenye maji na kudhuru watumiaji wa maji hayo.
Kuhusu formaline na chloroform hizo ni volatile in nature, haziwezi kuishi kwa muda mrefu hewani kwenye joto la kawaida hadi kumfikia mlaji. Yaani huyeyuka kutokana na joto na kuwa gesi hivyo haziwezi kuishi kwenye kiumbe kwa muda mrefu na kusababisha madhara makubwa kiasi hicho.
Kauli ya Makamu ni ya kisiasa wala siyo ya kikemia. Ni kawaida kwa wanasiasa wetu kuleta taharuki kwenye jamii kwa malengo fulani.
Najua kauli hiyo imelenga kuua uchumi wa samaki na kuwabeba wawekezaji wa migodi nchini, kama ile kamati iliyokuja na majibu ya kizembe. Eti kinyesi cha ng'ombe na mkojo ndiyo vilivyosababisha maji ya Mto Mara kuchafuka! Kamati ile na majibu yake ni muendelezo wa siasa chafu kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa dhidi ya wamiliki wa migodi wa kanda ile.
Hatujui kauli ya Makamu wa Rais inaspin kitu gani hasa wakati huu wa maumivu ya Tozo, lakini sisi kama wasomi wa kemia hatuwezi kukubali taaluma yetu kudharaulika kisiasa!
Hahaahahaha bangi inaongeza nguvu za kiume, hahahahaBangi hujaacha tu 🤣🤣🤣🤣
Nawe pia ni wale wale kasoro tarehe tu!Binafsi napinga kauli ya makamu wa Rais kuhusu chanzo cha saratani kanda ya ziwa kuwa maji ya maiti yenye chloroform.
Ni heavy metals pekee kama mercury, lead, zinc na nyinginezo ambazo zinaweza kukaa kwa muda mrefu kwenye maji na ardhini hadi kuyeyuka kwenye maji na kudhuru watumiaji wa maji hayo.
Kuhusu formaline na chloroform hizo ni volatile in nature, haziwezi kuishi kwa muda mrefu hewani kwenye joto la kawaida hadi kumfikia mlaji. Yaani huyeyuka kutokana na joto na kuwa gesi hivyo haziwezi kuishi kwenye kiumbe kwa muda mrefu na kusababisha madhara makubwa kiasi hicho.
Kauli ya Makamu ni ya kisiasa wala siyo ya kikemia. Ni kawaida kwa wanasiasa wetu kuleta taharuki kwenye jamii kwa malengo fulani.
Najua kauli hiyo imelenga kuua uchumi wa samaki na kuwabeba wawekezaji wa migodi nchini, kama ile kamati iliyokuja na majibu ya kizembe. Eti kinyesi cha ng'ombe na mkojo ndiyo vilivyosababisha maji ya Mto Mara kuchafuka! Kamati ile na majibu yake ni muendelezo wa siasa chafu kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa dhidi ya wamiliki wa migodi wa kanda ile.
Hatujui kauli ya Makamu wa Rais inaspin kitu gani hasa wakati huu wa maumivu ya Tozo, lakini sisi kama wasomi wa kemia hatuwezi kukubali taaluma yetu kudharaulika kisiasa!
Kwanza saratani zipo za aina nyingi..yeye anazungumzia saratani ipi hasa.?Lloyd Munroe kwani Cancer inapatikanaje Oncologist ?
Unauhakika na unalolisema..umesahau kuna underground water contamination.Ni mgeni wa sekta ya madini,na anaongelea issue ya madini kwa mtazamo hasi sana, wawekezaji wote wakubwa na medium scale hutumia leaching methods ku process gold na ni Sodium Cyanide ndio hutumika zaidi as the most common chemical reagent (lixiviant) na sio Mercury as you claimed.
Kingine moja ya legal requirement kwa processing plant ni kuwa na Tailing Storage facility (Tsf) ambalo ni bwawa kwa ajili ya kuhifadhia taka za mgodini (including chemicals), hakuna mahali unaweza ona chemicals zinasambaa ovyo kwenda ziwani.
Sawa wanatumia cyanide..je hiyo cyanide haina madhara kwa afya za viumbe hai??Hakuna mgodi mkubwa unayotumia mercury kuchakata madini. Inaonekana mwandishi na wewe unapengo ubongoni.
Mercury wanatumia watanzania na vimigodi vyetu vidogovidogo vingi.
Kule wanatumia Cyanide zaidi.