GRANITE II
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 540
- 965
Mkuu unafahamu vyema ujenzi wa tsf...baada ya bwawa kujengwa chini hutandazwa liners(kama carpet gumu sana) lenye ubora wa hali ya juu in terms of GSM,there is a very low possibility ya underground contamination.Unauhakika na unalolisema..umesahau kuna underground water contamination.
#MaendeleoHayanaChama
Lakini kitu cha pili kabla hujaruhusu material kwenda tsf concentration ya cyanide hupimwa na kama imezidi kiwango (above 50ppm) bas material hayo hufanyiwa dilution kabla ya kua disposed tsf