Chanzo cha Saratani Kanda ya Ziwa ni majitaka yenye Zebaki (Mercury)kutoka migodini siyo maji ya maiti!

Kwani maji ya maiti inakuwaje? Kwamba yanamwagwa ziwa victoria? Je maji hayafanyiwi treatment?
 
Wewe nawe ni mtupu kwenye sekta ya madini. Ni mgodi gani wa mwekezaji unaotumia mercury? Kama hujui, hakuna mgodi hata mmoja wa wawekezaji unaotumia mercury.

Mercury hutumika, tena kwa kiasi kidogosana, na wachimbaji wadogo.
Ni mgeni wa sekta ya madini,na anaongelea issue ya madini kwa mtazamo hasi sana, wawekezaji wote wakubwa na medium scale hutumia leaching methods ku process gold na ni Sodium Cyanide ndio hutumika zaidi as the most common chemical reagent (lixiviant) na sio Mercury as you claimed.

Kingine moja ya legal requirement kwa processing plant ni kuwa na Tailing Storage facility (Tsf) ambalo ni bwawa kwa ajili ya kuhifadhia taka za mgodini (including chemicals), hakuna mahali unaweza ona chemicals zinasambaa ovyo kwenda ziwani.
 
S Nimesema heavy metals Sio lazima iwe mercury PEKEE hata lead inaweza,hata cyanide pia!!

Go back to school boy!!!
 
Uko sahihi kabisa, saratani itasababishwa na heavy metals ambazo mostly zitazalishwa na shughuli za migodi na viwanda na labda kutumia kemikali za kilimo kwenye maeneo karibu na vyanzo vya maji kama mito na mabwawa yanayotumika na binadamu na wanyama.

Hivi vingine sijui formalin na maji ya kuosha maiti ni speculations tu..​
 
Kilichotokea kule nyamongo hadi watu kubabuka ngozi ilikuwa ni nini kama siyo kemikali za migodini kuingia kwenye vyanzo vya maji kwa matumizi ya binadamu, acheni kuleta siasa kwenye maisha ya watu..
 
Hakuna mgodi mkubwa unayotumia mercury kuchakata madini. Inaonekana mwandishi na wewe unapengo ubongoni.

Mercury wanatumia watanzania na vimigodi vyetu vidogovidogo vingi.

Kule wanatumia Cyanide zaidi.
 
Na wewe unahifadhia samaki makji ya maiti eeh
 
Nawe pia ni wale wale kasoro tarehe tu!

Formaline na chlorofoam zihifadhie samaki halafu mlaji asipate madhara kweli!

Ukisikia wasomi vihiyo na wewe ni mmojawapo.

Kilichoongelewa si zebaki wala dhahabu hapa ni formaline kuhifadhia samaki!

La zebaki na dhahabu lifungulie uzi wake kueleza madhara yake, lakini si hili la maji taka na kemikal za kuhifadhia maiti.

Akili za hovyo kabisa hizi!
 
Unauhakika na unalolisema..umesahau kuna underground water contamination.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hakuna mgodi mkubwa unayotumia mercury kuchakata madini. Inaonekana mwandishi na wewe unapengo ubongoni.

Mercury wanatumia watanzania na vimigodi vyetu vidogovidogo vingi.

Kule wanatumia Cyanide zaidi.
Sawa wanatumia cyanide..je hiyo cyanide haina madhara kwa afya za viumbe hai??

Msipotoshe..hizo kemikali zote na hatari sana kwa binadamu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…