GRANITE II
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 540
- 965
Mkuu unafahamu vyema ujenzi wa tsf...baada ya bwawa kujengwa chini hutandazwa liners(kama carpet gumu sana) lenye ubora wa hali ya juu in terms of GSM,there is a very low possibility ya underground contamination.Unauhakika na unalolisema..umesahau kuna underground water contamination.
#MaendeleoHayanaChama
Turudi hapa, tukubaliane hapa cyanide sio heavy metal...lakini kingine Sodium au potassium cyanide ni very soluble in water na one of the products iki react under acidic conditions (PH below 7) ni HCN ambayo ni highly volatile.S
Nimesema heavy metals Sio lazima iwe mercury PEKEE hata lead inaweza,hata cyanide pia!!
Go back to school boy!!!
Chanzo cha kansa ni heavy metal zinazo toka migodini samaki wana digest na binadam anakula kula samaki zenye heavy metal mwisho wa siku ni kansa mwanzo mwisho niliogopa watu elfu 70 kila mwaka wanatibiwa kansa wanatoka kanda ya ziwa, makamo alipotosha kwakweli
There is no Cancer gene Anko Fr.Lloyd Munroe kwani Cancer inapatikanaje Oncologist ?
Wana sayansiSasa Kama Makamu wa rais anapotisha nani atasema ukweli?
Kanda ya ziwa ni mineralized land ,na asilimia kubwa wananchi wanategemea uchimbaji wa madini (small scale miners) na hawa ndio mara zote hutumia mercury katika kukamatisha dhahabuWewe nawe ni mtupu kwenye sekta ya madini. Ni mgodi gani wa mwekezaji unaotumia mercury? Kama hujui, hakuna mgodi hata mmoja wa wawekezaji unaotumia mercury.
Mercury hutumika, tena kwa kiasi kidogosana, na wachimbaji wadogo.
Ni kweli inatumika lakini ni kwa viwango vinavyokubalika.Formalin nimewahi kuisikia kua mbali na kutumika kuhifadhia maiti,huwa inatumika pia kuhifadhia samaki,hivyo mwisho wa siku huleta madhara kwa mtumiaji wa samaki,kwa kumsababishia upofu n.k.
ofisi yake inashughulika na huduma za jamii pamoja na mazingiraHivi makamu wa Rais ana kazi gani? Au ndo kutembea na mkasi mfukoni kuzindua majengo?
kuna Oncogenes ambazo zikibadili tabia (mutate) zinasababisha kansa. Hizi kila mtu anazo.There is no Cancer gene Anko Fr.
Mambo yatakuwa wazi kadiri tafiti zitakavyozidi kufanywa😊
MKUU cyanide ni poisonous in nature hasa Ili react na heavy metals yoyote ile kama mercury ii cyanide ambayo ikiyeyuka kwenye maji ni most toxic KWA watumiaji!!Hakuna mgodi mkubwa unayotumia mercury kuchakata madini. Inaonekana mwandishi na wewe unapengo ubongoni.
Mercury wanatumia watanzania na vimigodi vyetu vidogovidogo vingi.
Kule wanatumia Cyanide zaidi.
Zinabadili vipi tabia ?kuna Oncogenes ambazo zikibadili tabia (mutate) zinasababisha kansa. Hizi kila mtu anazo.
Hoja ni maji ya maiti!je Yana impact kwenye kuhifadhi samaki!!?Nawe pia ni wale wale kasoro tarehe tu!
Formaline na chlorofoam zihifadhie samaki halafu mlaji asipate madhara kweli!
Ukisikia wasomi vihiyo na wewe ni mmojawapo.
Kilichoongelewa si zebaki wala dhahabu hapa ni formaline kuhifadhia samaki!
La zebaki na dhahabu lifungulie uzi wake kueleza madhara yake, lakini si hili la maji taka na kemikal za kuhifadhia maiti.
Akili za hovyo kabisa hizi!
Cynide Kwa theory ninayoijua Mimi ni off it react with hydrogen ya kwenye hewa inatengeneza hcn ambayo ni hewa yenye uwezo wa kuua ndani ya sekunde. Risk yake kwenye solid au liquid form sijawahi kusoma hiyo theory na hiyo threat sijawahi kuisikiaMKUU cyanide ni poisonous in nature hasa Ili react na heavy metals yoyote ile kama mercury ii cyanide ambayo ikiyeyuka kwenye maji ni most toxic KWA watumiaji!!
Cyanide kama cyanide ni poisonous kama iki react na heavy metals na kuyeyuka kwenye maji Basi watumiaji wa maji hayo wapo kwenye risk ya cancer!!
Nasikia migodi midogo midogo ya wachimbaji wadogo wadogo wanatumia mercury!what if HIZO mercury zikaenda kureact na cyanide wanayoitumia migodi mikubwa kwa mfumo wa NACN Na kupata HgCN hii compound haiwezi kuwa na effect ikiwa kwenye MAJI!?Cynide Kwa theory ninayoijua Mimi ni off it react with hydrogen ya kwenye hewa inatengeneza hcn ambayo ni hewa yenye uwezo wa kuua ndani ya sekunde. Risk yake kwenye solid au liquid form sijawahi kusoma hiyo theory na hiyo threat sijawahi kuisikia
Maana hata miogo Ina Cyanide na Sugar pia lakini form yake chemical ly Haina effects hata hivyo mleta Uzi analalamikia heavy metal ambayo huleta hata ugonjwa wa akili sio Kansas tu (minamata disease).
Heavy metal sijawahi kuisikia katika migodi Ile mikubwa na sidhani hata Kwa wachimbaji wadogo wanavibali kutumia.