Chanzo cha shida na matatizo mengi ya sasa yamesababishwa na huruma zetu wanaume kutaka sifa kwa wanawake walioshindikana

Wanaume tushafeli pakubwa sana, kibaya zaidi sisi kwa sisi hatupeani nafasi ila wanawake wana ajenda ya kutakeover nafasi ya mwanaume katika jamii kwa kumiliki uchumi sisi wanaume tuna cheka cheka na kuwaita Malikia wa nguvu.
Na fitna kati ya mwanaume na mwanaume Iko juu sana,ukifuga wanaiba,ukiwekeza kwenye mradi wanakupigia kura ya hovyo,ukipanda MITI wanachoma, Hawana jipya
 
Nimekuelewa sana mtoa mada nazani tuunde umoja wa wanaume bado hatujachelewa ingawa masnichi watatuuza tena kisa uchi
Wanaume taifa hili tukichanga 10,000 tutakuwa na uwezo kufungua mgodi wa madini wa nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…