Chanzo cha shida na matatizo mengi ya sasa yamesababishwa na huruma zetu wanaume kutaka sifa kwa wanawake walioshindikana

Chanzo cha shida na matatizo mengi ya sasa yamesababishwa na huruma zetu wanaume kutaka sifa kwa wanawake walioshindikana

Wanaume tushafeli pakubwa sana, kibaya zaidi sisi kwa sisi hatupeani nafasi ila wanawake wana ajenda ya kutakeover nafasi ya mwanaume katika jamii kwa kumiliki uchumi sisi wanaume tuna cheka cheka na kuwaita Malikia wa nguvu.
Na fitna kati ya mwanaume na mwanaume Iko juu sana,ukifuga wanaiba,ukiwekeza kwenye mradi wanakupigia kura ya hovyo,ukipanda MITI wanachoma, Hawana jipya
 
Back
Top Bottom