Halembwe06
Member
- Feb 23, 2025
- 82
- 63
Na fitna kati ya mwanaume na mwanaume Iko juu sana,ukifuga wanaiba,ukiwekeza kwenye mradi wanakupigia kura ya hovyo,ukipanda MITI wanachoma, Hawana jipyaWanaume tushafeli pakubwa sana, kibaya zaidi sisi kwa sisi hatupeani nafasi ila wanawake wana ajenda ya kutakeover nafasi ya mwanaume katika jamii kwa kumiliki uchumi sisi wanaume tuna cheka cheka na kuwaita Malikia wa nguvu.