Chanzo cha Ugomvi wa Vinicius jr vs Luca modric jana

Vien

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2020
Posts
6,585
Reaction score
10,363
HIKI HAPA CHANZO CHA UGOMVI WA Vinicius José Paixão de Oliveira Júnior NA NAHODHA MKUU WAKE Luca Modric USIKU WA JANA:

Dakika 5 kabla ya mchezo kumalizika baina ya CD Leganese dhidi ya Real Madrid C.F. ,real Madrid waliruhusu Corner na Leganese wakaenda kupiga corner hiyo. Nahodha Mkuu wa Real Madrid Luca Modric akamfuata Vinicius Jr na kumwambia arudi kwenda kusaidia timu kujilinda maana mechi ilikuwa 50-50.

Vinicius hakupenda kuambiwa vile na nahodha wake na hakutii agizo hilo Kisha kwa sauti kubwa ambayo ilisikika mpaka kwa mashabiki wa siti za mbele akamjibu nahodha wake, "Sirudi huko nyuma" Fede Valverde pia hakufurahishwa na hicho kitendo Cha Vini Jr.

Fede Valverde akamwambia Vinicius "heshimu maagizo ya nahodha wetu". Nahodha Modric akarudia tena kumtaka Vinicius Jr arudi nyuma kusaidia timu kujilinda na shambulizi la corner la Leganese.

Vinicius Jr akagoma Kwa mara nyingine kurudi kusaidia timu kujilinda,Vini Jr hakuishia kukataa tu na alimjibu kwa hasira kwa kumwambia nahodha wake "Nini unataka kutoka kwangu". Nahodha Modric na yeye akamjibu kwa kumwambia Vini Jr "Nenda kafie kuzimu" halafu akaondoka.

Baada ya Mwamuzi kupuliza filimbi akiashiria mechi imeisha, Vinicius Jr aliondoka uwanjani kwa hasira Wala hakusalimiana Wala kuongea na mchezaji yoyote wa klabu yake au timu pinzani.

Vyanzo vikubwa nchini Spain ambavyo ni MARCA pamoja na Cadena Ser vimethibitisha kwa pamoja tukio hilo kutokea usiku wa Jana.

MCHEZAJI KITU CHA KWANZA UNATAKIWA UMHESHIMU NAHODHA KABLA YA KOCHA,MAANA NAHODHA NDIO KIONGOZI MKUU WA WACHEZAJI WOTE NA YEYE ANA CONNECTION NA HUYO KOCHA NA UONGOZI MZIMA WA TIMU.

Note: Nimei copy mahali
 
Vini asipobadilika anaweza kuikosa Ballon d'or na akaishia kucheza league ya Brazil kama Neymar.
 
Hili umelisahau

With the score tied at 2-2 in the 83rd minute, Leganés nearly took the lead when Dani Raba’s shot forced a crucial save from Andriy Lunin. While most Real Madrid players rushed back to defend, Vinícius stayed behind, protesting a booking he deemed unfair.

Ancelotti Backs Modric

After the match, Carlo Ancelotti was asked about the altercation and did not hesitate to side with his veteran midfielder.
"If Modric says it... you have to respect what Modric says, always," the Italian coach stated.
The incident raises the question: Could this affect Real Madrid’s team chemistry? Modric is one of the most respected figures in the squad, while Vinícius has become a key player in the attack. However, given the high-stakes nature of the match, this could simply be a heated exchange in the intensity of competition.
imetoka
 
Zidane " Tabia ni moja ya kitu kinamnyima mtu Ballon d'or"

Neymar Jr To Vini Jr " Tatizo umekuwa muongeaji Sana "

Huu ni muendelezo wake wa kugombana na watu kuanzia ndani ya timu ,Ligi Hadi mashabiki.

Toka aje Jude na kuliteka jukwaa Zima la Sifa anazohisi anastahili Janja kawa na tabia mpya za ajabu.
 
HIKI HAPA CHANZO CHA UGOMVI WA Vinicius José Paixão de Oliveira Júnior NA NAHODHA MKUU WAKE Luca Modric USIKU WA JANA:

Dakika 5 kabla ya mchezo kumalizika baina ya CD Leganese dhidi ya Real Madrid C.F. ,real Madrid waliruhusu Corner na Leganese wakaenda kupiga corner hiyo. Nahodha Mkuu wa Real Madrid Luca Modric akamfuata Vinicius Jr na kumwambia arudi kwenda kusaidia timu kujilinda maana mechi ilikuwa 50-50.

Vinicius hakupenda kuambiwa vile na nahodha wake na hakutii agizo hilo Kisha kwa sauti kubwa ambayo ilisikika mpaka kwa mashabiki wa siti za mbele akamjibu nahodha wake, "Sirudi huko nyuma" Fede Valverde pia hakufurahishwa na hicho kitendo Cha Vini Jr.

Fede Valverde akamwambia Vinicius "heshimu maagizo ya nahodha wetu". Nahodha Modric akarudia tena kumtaka Vinicius Jr arudi nyuma kusaidia timu kujilinda na shambulizi la corner la Leganese.

Vinicius Jr akagoma Kwa mara nyingine kurudi kusaidia timu kujilinda,Vini Jr hakuishia kukataa tu na alimjibu kwa hasira kwa kumwambia nahodha wake "Nini unataka kutoka kwangu". Nahodha Modric na yeye akamjibu kwa kumwambia Vini Jr "Nenda kafie kuzimu" halafu akaondoka.

Baada ya Mwamuzi kupuliza filimbi akiashiria mechi imeisha, Vinicius Jr aliondoka uwanjani kwa hasira Wala hakusalimiana Wala kuongea na mchezaji yoyote wa klabu yake au timu pinzani.

Vyanzo vikubwa nchini Spain ambavyo ni MARCA pamoja na Cadena Ser vimethibitisha kwa pamoja tukio hilo kutokea usiku wa Jana.

MCHEZAJI KITU CHA KWANZA UNATAKIWA UMHESHIMU NAHODHA KABLA YA KOCHA,MAANA NAHODHA NDIO KIONGOZI MKUU WA WACHEZAJI WOTE NA YEYE ANA CONNECTION NA HUYO KOCHA NA UONGOZI MZIMA WA TIMU.

Note: Nimei copy mahali
SACP Jumanne Muliro ameshatoa taarifa kwenye vyombo vya habari kuhusu hilo?
 
Yatamkuta ya Neymar Jr huyu. Wabrazil sijui wakoje.
 
Watoto wa kibrazili mnawajua mnawasikia, mbrazili akishakuwa maarufu utajua hujui...wanajua Hadi wanajua tena lakini nidhamu mbovu.
 
HIKI HAPA CHANZO CHA UGOMVI WA Vinicius José Paixão de Oliveira Júnior NA NAHODHA MKUU WAKE Luca Modric USIKU WA JANA:

Dakika 5 kabla ya mchezo kumalizika baina ya CD Leganese dhidi ya Real Madrid C.F. ,real Madrid waliruhusu Corner na Leganese wakaenda kupiga corner hiyo. Nahodha Mkuu wa Real Madrid Luca Modric akamfuata Vinicius Jr na kumwambia arudi kwenda kusaidia timu kujilinda maana mechi ilikuwa 50-50.

Vinicius hakupenda kuambiwa vile na nahodha wake na hakutii agizo hilo Kisha kwa sauti kubwa ambayo ilisikika mpaka kwa mashabiki wa siti za mbele akamjibu nahodha wake, "Sirudi huko nyuma" Fede Valverde pia hakufurahishwa na hicho kitendo Cha Vini Jr.

Fede Valverde akamwambia Vinicius "heshimu maagizo ya nahodha wetu". Nahodha Modric akarudia tena kumtaka Vinicius Jr arudi nyuma kusaidia timu kujilinda na shambulizi la corner la Leganese.

Vinicius Jr akagoma Kwa mara nyingine kurudi kusaidia timu kujilinda,Vini Jr hakuishia kukataa tu na alimjibu kwa hasira kwa kumwambia nahodha wake "Nini unataka kutoka kwangu". Nahodha Modric na yeye akamjibu kwa kumwambia Vini Jr "Nenda kafie kuzimu" halafu akaondoka.

Baada ya Mwamuzi kupuliza filimbi akiashiria mechi imeisha, Vinicius Jr aliondoka uwanjani kwa hasira Wala hakusalimiana Wala kuongea na mchezaji yoyote wa klabu yake au timu pinzani.

Vyanzo vikubwa nchini Spain ambavyo ni MARCA pamoja na Cadena Ser vimethibitisha kwa pamoja tukio hilo kutokea usiku wa Jana.

MCHEZAJI KITU CHA KWANZA UNATAKIWA UMHESHIMU NAHODHA KABLA YA KOCHA,MAANA NAHODHA NDIO KIONGOZI MKUU WA WACHEZAJI WOTE NA YEYE ANA CONNECTION NA HUYO KOCHA NA UONGOZI MZIMA WA TIMU.

Note: Nimei copy mahali
Kitendo cha Vini Jr kunyimwa Ballon D'or ambayo alikuwa aipate bali ni chuki ya Rais wa club kwa waandalizi akaikosa kimemtoa kwa kiasi kikubwa kwenye reli.
 
Vini ni kiumbe mjivuni, mpenda sifa haswa mbele ya watu(camera) anajisikia sana, hana nidhamu ya dhati. Kifupi ni mkosefu wa adabu.. Hana ukubwa wowote wa kumletea jeuri captain wake, haswa luca modric.
Vini Jr. anasumbuliwa na ushamba wa Kiafrika.
 
Back
Top Bottom