Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
HIKI HAPA CHANZO CHA UGOMVI WA Vinicius José Paixão de Oliveira Júnior NA NAHODHA MKUU WAKE Luca Modric USIKU WA JANA:
Dakika 5 kabla ya mchezo kumalizika baina ya CD Leganese dhidi ya Real Madrid C.F. ,real Madrid waliruhusu Corner na Leganese wakaenda kupiga corner hiyo. Nahodha Mkuu wa Real Madrid Luca Modric akamfuata Vinicius Jr na kumwambia arudi kwenda kusaidia timu kujilinda maana mechi ilikuwa 50-50.
Vinicius hakupenda kuambiwa vile na nahodha wake na hakutii agizo hilo Kisha kwa sauti kubwa ambayo ilisikika mpaka kwa mashabiki wa siti za mbele akamjibu nahodha wake, "Sirudi huko nyuma" Fede Valverde pia hakufurahishwa na hicho kitendo Cha Vini Jr.
Fede Valverde akamwambia Vinicius "heshimu maagizo ya nahodha wetu". Nahodha Modric akarudia tena kumtaka Vinicius Jr arudi nyuma kusaidia timu kujilinda na shambulizi la corner la Leganese.
Vinicius Jr akagoma Kwa mara nyingine kurudi kusaidia timu kujilinda,Vini Jr hakuishia kukataa tu na alimjibu kwa hasira kwa kumwambia nahodha wake "Nini unataka kutoka kwangu". Nahodha Modric na yeye akamjibu kwa kumwambia Vini Jr "Nenda kafie kuzimu" halafu akaondoka.
Baada ya Mwamuzi kupuliza filimbi akiashiria mechi imeisha, Vinicius Jr aliondoka uwanjani kwa hasira Wala hakusalimiana Wala kuongea na mchezaji yoyote wa klabu yake au timu pinzani.
Vyanzo vikubwa nchini Spain ambavyo ni MARCA pamoja na Cadena Ser vimethibitisha kwa pamoja tukio hilo kutokea usiku wa Jana.
MCHEZAJI KITU CHA KWANZA UNATAKIWA UMHESHIMU NAHODHA KABLA YA KOCHA,MAANA NAHODHA NDIO KIONGOZI MKUU WA WACHEZAJI WOTE NA YEYE ANA CONNECTION NA HUYO KOCHA NA UONGOZI MZIMA WA TIMU.
Note: Nimei copy mahali