Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Google,
But Hakuna uzalendo kwenye njaa
Njaa inaweza kuondoa utu wako???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Google,
But Hakuna uzalendo kwenye njaa
Kabisa,we uoni wabunge,madiwani wameuza utu wao Imani yao kwa wapiga kura yao kwa vipande vya sabuni,ujaona watu wakishindana kusifu ili wapate teuzi au Kinga ya utumbuzi ,ujaona mahakimu wakipindisha sheria ili wapate teuzi.Njaa inaweza kuondoa utu wako???
Kabisa,we uoni wabunge,madiwani wameuza utu wao Imani yao kwa wapiga kura yao kwa vipande vya sabuni,ujaona watu wakishindana kusifu ili wapate teuzi au Kinga ya utumbuzi ,ujaona mahakimu wakipindisha sheria ili wapate teuzi.
Uzalendo unatengeneza na sera Bora na unavunjwa na sera mbovuHuko ndiko kukosa maadili na uzalendo, je kwa maoni yako hiyo ni sawa??!!
Uzalendo unatengeneza na sera Bora na unavunjwa na sera mbovu
Kwann nchi zilizoendelea ni wazalendo kwa mataifa yao? Ukipata jibu utajua maana ya uzalendoUzalendo haujengswi na sera bali maadili, sasa tafuta maadili yanakujaje??
Kwann nchi zilizoendelea ni wazalendo kwa mataifa yao? Ukipata jibu utajua maana ya uzalendo
Sentensi yako ya kwanza imenikatisha kusoma yote uliyoandika, kwa sababu hujanielewa hivyo yote uliyoandika hayahusiki na nilichokisema. Kichwa cha habari kinasema 'sababu kuu ya umasikini wetu sio viongozi'.Mtoa mada sema tu umekusudia kumsema JK kwa husda uliyonayo kutokana na mafanikio yake katika utendaji wake ukilinganisha na JPM. Enzi za JK uchumi ulishawahi kupanda zaidi ya 8% kiwango ambacho JPM hatakaa akifikie pamoja na kujifanya kuwa "mjenga uchumi".
Lakini ukweli ni kwamba ukuaji wa uchumi wetu kwa sasa ni chini ya 6% kwa mujibu wa IMF taarifa ambazo JPM hataki zichapishwe. Ingawa waziri wa wa Fedha na Minpango ameonesha "mgando" katika ukuaji wa uchumi kwa kulinganisha miaka miwili iliyopita (7%) ni uongo, uchumi umedidimia zaidi bali serikali inajaribu kufanya "balance" kuficha uhalisia wa kushuka kwa uchumi kujilinda kisiasa.
Tukirudi kwenye hoja kwamba tatizo la umasikini (uchumi mbaya) ni kutokana na ukosefu wa teknolojia na si uongozi, hapa ni dhahiri unakusudia "kumkinga" JPM na lawama za anguko la kiuchumi ambalo tunapitia kwa sasa. Kwamba tatizo si JPM bali ni "asili" yetu ya kukosa maarifa ya kisayansi. Unapotosha.
Kumbuka, dhima ya uongozi ni kutoa dira katika maendeleo ya nchi. Tofauti ya maendeleo ya kiuchumi baina ya nchi tajiri na masikini (Africa) inatokana na tofauti ya kiwango cha uwekezaji (support) katika utafiti na maendeleo (R&D) ambayo ndo msingi wa teknolojia na uchumi wenyewe. Serikali (uongozi) za nchi zenye maendeleo makubwa zinawekeza zaidi kwenye R&D kuliko nchi masikini ambazo huwekeza zaidi katika vitu (structures).
Hebu jiulize mwenyewe serikali hii ya JPM imetenga kiasi gani cha fedhs katika bajeti yake kwa ajili ya R&D? Lakini kama kweli unaamini tatizo la umasikini si uongozi bali ukosefu wa teknolojia, je, unatarajia Tanzania itaondokana na umasikini uliopo kwa kuwekeza matrilioni ya shilingi kwenye miradi ya ujenzi wa SGR na JNHPP? Hivi anayeamua fedha za nchi zitumike zaidi kwenye miradi ya ujenzi badala ya R&D si viongozi?
Je, unafahamu kwamba changamoto ya mlipuko wa ugonjwa wa korona inaweza kuwa ni chachu ya kuwekeza kwenye utafiti na maendeleo? Je, serikali imetenga fedha kiasi gani na maelekezo gani hadi sasa kusapoti wanasayansi ili wafanye tafiti na kuweza kuzalisha vipimo, dawa, kinga na vifaa tiba dhidi ya korona na magonjwa mengine?
Una mengi ya kujifunza, na kama huwezi kusoma maelezo yangu mafupi basi huna uwezo wa kujua ukweli. Viongozi wetu wanachangia %1 ya chanzo cha umasikini kama ukitumia akili na kufanya utafiti kwa nini mabeberu ni matajiri wakati hawana resources wala madini, kama umekwenda shule na kujifunza politic economy.Sijasoma ndani ya Uzi wako hata kidogo ila nakuhakikishia viongozi wabovu,wasio na maono kwa mustakabali wa nchi Na wananchi wao, wenye kujali masilahi yao binafsi na ndugu + jamaa zao ndio chanzo kikuu cha umasikini na maendeleo duni kwa Bara letu zuri!
Sent using Jamii Forums mobile app
I will help you to answer two questions. First mimi nazungumzia viongozi wote Afrika sio Tanzania tu, kwa hiyo drop that shi against JPM on here, soma vizuri kichwa cha habari.Mtoa mada sema tu umekusudia kumsema JK kwa husda uliyonayo kutokana na mafanikio yake katika utendaji wake ukilinganisha na JPM. Enzi za JK uchumi ulishawahi kupanda zaidi ya 8% kiwango ambacho JPM hatakaa akifikie pamoja na kujifanya kuwa "mjenga uchumi".
Lakini ukweli ni kwamba ukuaji wa uchumi wetu kwa sasa ni chini ya 6% kwa mujibu wa IMF taarifa ambazo JPM hataki zichapishwe. Ingawa waziri wa wa Fedha na Minpango ameonesha "mgando" katika ukuaji wa uchumi kwa kulinganisha miaka miwili iliyopita (7%) ni uongo, uchumi umedidimia zaidi bali serikali inajaribu kufanya "balance" kuficha uhalisia wa kushuka kwa uchumi kujilinda kisiasa.
Tukirudi kwenye hoja kwamba tatizo la umasikini (uchumi mbaya) ni kutokana na ukosefu wa teknolojia na si uongozi, hapa ni dhahiri unakusudia "kumkinga" JPM na lawama za anguko la kiuchumi ambalo tunapitia kwa sasa. Kwamba tatizo si JPM bali ni "asili" yetu ya kukosa maarifa ya kisayansi. Unapotosha.
Kumbuka, dhima ya uongozi ni kutoa dira katika maendeleo ya nchi. Tofauti ya maendeleo ya kiuchumi baina ya nchi tajiri na masikini (Africa) inatokana na tofauti ya kiwango cha uwekezaji (support) katika utafiti na maendeleo (R&D) ambayo ndo msingi wa teknolojia na uchumi wenyewe. Serikali (uongozi) za nchi zenye maendeleo makubwa zinawekeza zaidi kwenye R&D kuliko nchi masikini ambazo huwekeza zaidi katika vitu (structures).
Hebu jiulize mwenyewe serikali hii ya JPM imetenga kiasi gani cha fedhs katika bajeti yake kwa ajili ya R&D? Lakini kama kweli unaamini tatizo la umasikini si uongozi bali ukosefu wa teknolojia, je, unatarajia Tanzania itaondokana na umasikini uliopo kwa kuwekeza matrilioni ya shilingi kwenye miradi ya ujenzi wa SGR na JNHPP? Hivi anayeamua fedha za nchi zitumike zaidi kwenye miradi ya ujenzi badala ya R&D si viongozi?
Je, unafahamu kwamba changamoto ya mlipuko wa ugonjwa wa korona inaweza kuwa ni chachu ya kuwekeza kwenye utafiti na maendeleo? Je, serikali imetenga fedha kiasi gani na maelekezo gani hadi sasa kusapoti wanasayansi ili wafanye tafiti na kuweza kuzalisha vipimo, dawa, kinga na vifaa tiba dhidi ya korona na magonjwa mengine?
Umetumia posts mbili (2) kunijibu. Hii ni kuonenesha umehamaki kutokana na hoja zangu kama ulivyobainisha pale uliposema umeishia kusoma aya ya kwanza katika mchango wangu na ukachanganikiwa hadi kushindwa kuendelea kusoma nimeandika nini kwenye aya zinazofuata. Hivi hata mwenyewe hushangai unapojaribu kunijibu wakati hujasoma mchango wangu hadi mwisho na kwamba hujaelewa nilichoandika?I will help you to answer two questions. First mimi nazungumzia viongozi wote Afrika sio Tanzania tu, kwa hiyo drop that shi against JPM on here, soma vizuri kichwa cha habari.
Cha pili nitakupa mfano mmoja tu kwa swali,- kama tungekuwa na uwezo wa kujenga reli, tungelipa ma billion kwa wachina na kujipa madeni ya kuturudisha nyuma?
Nyongeza na ni ushauri,- Jifunze kwa nini nchi za magharibi ni matajiri kuliko sie wenye kila kitu, wakati wao hata chakula hawana. Utapata elimu hiyo ya siasa kidato cha pili.
Jibu langu la pili linaonyesha nilirudi kwenye mada yako na kusoma yote.Umetumia posts mbili (2) kunijibu. Hii ni kuonenesha umehamaki kutokana na hoja zangu kama ulivyobainisha pale uliposema umeishia kusoma aya ya kwanza katika mchango wangu na ukachanganikiwa hadi kushindwa kuendelea kusoma nimeandika nini kwenye aya zinazofuata. Hivi hata mwenyewe hushangai unapojaribu kunijibu wakati hujasoma mchango wangu hadi mwisho na kwamba hujaelewa nilichoandika?
Sasa angalia ulichofanya; umejibu maswali ambayo mimi sijauliza. Ukweli ni kwamba nimeuliza maswali mengi lakini siyo uliyonijibu. Mimi sijauliza kutaka kufahamu kama unazungumzia umasikini wa Tanzania peke yake au na nchi nyinginezo duniani. By the way hili haliwezi kuwa swali langu wakati tayari nafahamu umekusudia nini kwenye mada yako.
Ukweli ni kwamba umeumizwa sana na hoja zangu kwavile tu nimelinganisha success za JK dhidi ya failures za JPM. Lakini kuwataja viongozi hawa wa Tanzania isiwe ndo sababu ya kunichukulia kwamba nimeilewa mada yako kwa muktadha wa nchi hii peke yake wakati unaongelea nchi masikini kwa ujumla wake, No! Lakini wewe mwenyewe ndo mtu wa kwanza kuitaja Tanzania kama mfano wa nchi maskini kwa kujadili uongozi wa JK kwenye mada yako. Na mimi pia nimejikita kujadili umasikini wa nchi hiyo hiyo ya Tanzania chini ya uongozi wa JPM ambaye wewe hukumtaja kwasababu nilizozitaja kwamba "unamkinga".
Au unataka kusema Tanzania kwa sasa chini ya uongozi wa JPM imepiga hatua kwenye sayansi na teknolojia na kwamba si miongoni tena mwa hizo nchi masikini bali ilikuwa hivyo chini ya JK kama ulivyoonesha kwenye mada yako? Kwanini umtaje JK peke yake kama mfano wa viongozi wa hizo nchi maskini badala ya JPM anayeingoza Tanzania kwa sasa?
Lakini unaponishauri nisome mada yako kwa umakini ili nielewe umejadili nini wakati wewe mwenyewe umeshindwa kusoma mada yangu kwa umakini na ukamilifu, huoni kwamba unashangaza?
Mtoa mada hizi ndo hoja zangu na siyo hizo unazojaribu kuzijibu.
Jibu langu la pili linaonyesha nilirudi kwenye mada yako na kusoma yote.
Mimi sikutaja nchi au kiongozi yoyote kwenye post yangu, ni wewe uliyeleta hilo, ndiyo maana nikasema soma tena post yangu.
Umejitahidi kueleza kwa kirefu lakini hakuna chochote sahihi ulichosema. Cha kwanza ni wewe unayeleta mada ya JPM hapa, kwani hujui unachoandika? Cha pili kwani ni JPM pekee wa kuleta na kuboresha sayansi na teknolojia au siye wote tunaotakiwa kujifunza yote? Kwani viongozi wengine walikuwa wapi?
Sitaki hata kufikiria kiongozi mmoja au nchi moja katika hili janga la Afrika nzima, kufikiri ni kiongozi wanaotakiwa kutupa sayansi na teknolojia au wanaosababisha umasikini, ni upungufu wa kuona ukweli na kufikiri, kunaleta upinzani usio na msingi kama wajinga fulani wanaogombea kuongozana, na hivyo ndivyo mabeberu wanavyotuona na kutumia fursa hiyo ya nchi isiyo imara kututawala na kutunyonya baada ya kujifanya kusuluhisha. Vurugu nchini zinawapa fursa mabeberu kutuibia na kutunyonya kutumia milango ya nyuma, sababu serikali haipo imara na iko kwenye vita, hivyo haisimamii malighafi zake, kama Libya na Sudan kusini.
Afrika itabadilisha viongozi wote kila mwaka hata kwa bunduki, lakini kama hatujui sayansi na teknolojia tutabaki pale pale na umasikini wetu, maelezo zaidi rudi kwenye post na kusoma tena, maana ulinijibu bila hata ya kusoma post yangu yote, ndiyo maana akili zako zikakwambia namtetea JPM ambaye kafanya mengi zaidi hata ya Nyerere, lakini wala sikumfikiri wakati nafikiri hivi, nimefikiri hivi toka nilipofundishwa politic science kidato cha pili, wakati huo tulikuwa na Mwinyi, ulikuwa vidudu siajabu kama ulikuwa umezaliwa. Nimejadiliana hili na waafrika toka nchi zote kwenye kundi la facebook, na wote wameoona ninachosema.
Umeacha point kubwa zote na kuchukua point ndogo niliyoitetea kwa kusema sio sababu kuu ya umasikini wetu, umeumia sana nilipomtaja Kikwete, cha kufanya ungeuliza kwa nini? Hata hivyo niliweka wazi kundi dogo la viongozi wetu ni sababu ndogo wala sio kuu ya umasikini wetu, nikimaanisha sio haja kabisa na sababu zake na wao pia ni masikini, wanapata utajiri kwenye siasa.Angalia unachosema kwenye hiyo mistari myekundu kisha ulinganishe na kile ulichokiandika kwenye aya ya mwisho ya bandiko lako inyosomeka kama ifuatavyo.
"Mashariki ya kati na mbali wameishiwa mchanga wa kujengea madaraja na majumba, sasa China inatoa mchanga toka nchi jirani, ilichukua hata kwetu wakati wa Kikwete, ambaye namuweka katika kundi dogo la viongozi walio sababisha umasikini ukuwe Afrika, ila sio sababu kuu"
Unaposema hujataja jina la kiongozi yeyote kwenye mada yako, Kikwete siyo kiongozi? Na unaposema hujataja nchi yoyote, je, Chinasiyo nchi? Lakini kama umemtaja Kikwete kwanini hutaki kukili kwamba unaizungumzia Tanzania? Na unaposema "ilichukuwa (mchanga) hata kwetu", huko kwenu siyo nchi Tanzania?
Acha kubabaisha watu na akili zao kijana!
Nikushauri tu ndugu yangu uwe makini unapoleta hoja zako, kuna watu wanaangalia hoja zako kwa kutumia jicho la tatu.Umeacha point kubwa zote na kuchukua point ndogo niliyoitetea kwa kusema sio sababu kuu ya umasikini wetu, umeumia sana nilipomtaja Kikwete, cha kufanya ungeuliza kwa nini? Hata hivyo niliweka wazi kundi dogo la viongozi wetu ni sababu ndogo wala sio kuu ya umasikini wetu, nikimaanisha sio haja kabisa na sababu zake na wao pia ni masikini, wanapata utajiri kwenye siasa.
Ungeuliza kwanza japokuwa siyo hoja kubwa katika mada yangu, hoja kubwa katika mada yangu ni tufanyaje ili tujikomboe kutoka umasikini, ukizingatia sio viongozi wetu wa kuwalaumu kama jibu rahisi, bila kuangalia nchi zilizoendelea zinatajirika vipi bila resources na minerals? Au kuangalia mfano wa sasa wa China jinsi walivyojikomboa toka umasikini chini ya kiwango mpaka utajiri walio nao na kubakiwa na umasikini mdogo kulinganisha na nyuma au siye.
Niliposema sijaitaja nchi yoyote nina maana yenye umasikini, nchi ya Afrika, siyo kuhusu nchi zilizoendelea zinavyofanya, of course niliitaja China najua hivyo, katika kuuijenga hoja lakini si moja ya nchi masikini. Kuhusu mchanga toka Tanzania again, ni kuhusu China inavyofanya, lakini sina maana Tanzania kuuza mchanga China kunaleta umasikini, hilo linaleta maharibiko ya ardhi, soil erosion na mabonde, ni sawa na kuuza nchi. Na hii ilifanywa na Kikwete ndiyo mana nikamtaja, lakini siyo sababu kuu ya umasikini wetu. Pia nilimtaja kama mfano sababu kipindi chake tumeona shilingi ikishuka thamani haraka na ghafla kuliko kipindi cha Rais yeyote toka enzi za Nyerere tuliokuwa tumezaliwa.
Bila kujua sababu za kweli na kuu za umasikini wetu hatutafika popote, tutarudi nyuma na kugawanyika na kukosa nguvu ya kujilinda toka kwa ukoloni mamboleo wa mabeberu, wanaotaka kila siku tuwapinge viongozi wetu kwa fujo na kuvuruga nchi zetu, wakati wao wana sisitiza uchaguzi na kuna sheria kali dhidi ya vurugu za kisiasa.
Kwanza hujaelewa post yangu kabisa, umechukua hoja ya Kikwete sababu unampinga JPM, na hii sio sababu ya post yangu, unaipotosha kwa kuchukua mfano kuwa ndiyo hoja kuu. Nimeshasema mara tatu sasa, SABABU 'KUU' YA UMASIKINI WETU SIO VIONGOZI INGAWAJE WANACHANGIA KWA KIASI KIDOGO NA NI WACHACHE WAFANYAO HIVYO.Nikushauri tu ndugu yangu uwe makini unapoleta hoja zako, kuna watu wanaangalia hoja zako kwa kutumia jicho la tatu.
Angalia sasa. Yaani unasahau hata kile ulichoandika mwenyewe. Unabisha kwamba hujataja jina la kiongozi wala jina nchi kwenye mada yako. Unakuja kukili baada ya kupewa ushahidi kutoka kwenye aya zako mwenyewe kwamba umetaja nchi ya China na jina la kiongozi Kikwete. Tukuhesabuje mzembe, msahaulifu, mbishi au muongo?
Lakini kwanini unapenda sana kunishauri eti nikuulize ili nipate ufafanuzi wakati nilishakuambia siwezi kuuliza jambo ninalolifahamu; ni kupoteza muda.
Lakini kama ulitarajia nikuunge mkono kwa kujikita kwenye hiyo "hoja yako kuu" kwamba ukosefu wa maarifa ya sayansi na teknolojia ni chanzo cha umasikini wa nchi za Afrika, ingekuwa ni kupoteza muda kwakuwa huu ni ukweli ambao uko dhahiri na wala si hoja mpya kujadiliwa humu JF. Bali mimi mwenyewe pia niliwahi kueleza hoja hii kwenye mada kama hii ambayo ilitolewa humu.
Mimi nimeandika reply yangu kwa kujikita kwenye hoja mpya ambayo nimeiona kwa "jicho la tatu" kwenye mada yako pale uliposema kwenye aya ya mwisho "Kikwete ni miongoni mwa viongozi kwenye kundi dogo waliosababisha umaskini ukuwe Afrika".
Kwa maoni yangu, Kikwete hakustahili atumike kama mfano kwavile ushahidi unaonesha enzi zake hali ya uchumi ilikuwa bora zaidi kuliko ilivyo sasa katika uongozi wa Magufuli. Lakini kushindwa kwako kumtaja Maguli ndo sababu iliyonifanya nihitimishe kuwa mada yako yote ulilenga kumkinga Magufuli dhidi ya lawama za anguko la uchumi kwa kuonesha kwamba yeye kama kiongizi si sababu bali ni ukosefu wa sayansi na teknolojia.
Lakini pia tambua kwamba mfano ulioutumia wa kumtaja Kikwete kwamba ni miongoni mwa viongozi waliosababisha umaskini ukue Afrika, unapingana na hiyo "hoja yako kuu". Maana yake unakili kwamba viongozi nao ni chanzo cha umaskini na si ukosefu wa teknolojia peke yake. Huku ni kujichanganya, vinginevyo inabidi tu ukili kwamba unamuonea JK. Iweje umaskini wa Tanzania umekuzwa na JK kama kiongozi na kwenye uongozi wa JPM chanzo cha umaskini si yeye bali ni ukosefu wa teknolojia. Huu ni ubaguzi na uonevu (imbalance).
Sasa naomba ufafanue ili nisielewe vibaya lengo la mada yako kwa kunijibu swali langu kama ifuatavyo.
Je, ulipomtaja kama mfano wa chanzo cha umaskini kiongozi wa zamani wa Tanzania JK badala ya buyu wa sasa JPM unamaanisha kwamba Tanzania ya sasa chini ya JPM ina maendeleo kutokana na maarifa ya sayansi na teknolojia na kwamba si tena nchi maskini ya kuitolea mfano?
Hii ndo hoja yangu.
Nimesahau kumalizia kwa kusema, hoja yangu siyo ya Rais gani kafanya nini ingawaje nimetoa mfano, soma tena mada yangu kiundani kama intellectual person na kuona point kuu ni lack of science and technology in Africa, na jadili hilo, la sivyo uko nje ya mada na unalazimisha ubishi wa JPM hapa.Nikushauri tu ndugu yangu uwe makini unapoleta hoja zako, kuna watu wanaangalia hoja zako kwa kutumia jicho la tatu.