Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
Habari zenu Wakubwa?
Moja kwa moja kwenye uzi, Rafiki yangu ametuliza akili na kupiga hesabu ya hela aliyoliwa kwenye KAMARI (aviator na sports) kwa miezi mitatu ni zaidi ya milioni 3 ambayo ni bei ya pikipiki. Ila yeye ukiangalia maisha yake hana hata baiskeli, daah inauma. Ebu fikiria hapa ni kwa miezi mitatu tu, Je, kwa mwaka amepoteza pikipiki ngapi kwenye KAMARI?
Ndugu zangu 1,000 ama 5,000 ama 10,000 inaweza kuonekana ni ndogo, ila kwa siku 200, kwa mwaka mmoja ni hela nyingi tu.
Mimi mwenyewe nimepiga hesabu ya hela ambazo nimeliwa kwenye KAMARI tokea niingie huko mwaka 2024 ni pesa ndefu sana, Japo niliona ni 5,00, 1,000, 5,000 halafu maisha yangu hayaeleweki kabisa, imagine huwezi kuwa na hela mfukoni...... hata kununua nguo upendeze unashindwa.
Namalizia kwa kusema kwamba bora umpe mwanamke pesa ale, kuliko kuzitupa kwenye KAMARI ukitegemea kwamba ipo siku utashinda milioni 500
Vijana wenzangu KAMARI.