1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 1,561
- 3,328
Mno zaidi.... 🙏🤟Kuna vitu vinafikirisha mno
Mno zaidi.... 🙏🤟Kuna vitu vinafikirisha mno
Pombe kama unaweza kuicontrol ni sawa ila wengi sana wanashindwa kuicontrol..nijitolee mfano mimi baada ya kukaa na kujitathmini niliona inanipotezea sana hela nikaamua kuja na formula ifuatayo bajeti ni 60k Kwa mwezi hivyo nakunywa kila jpili bia za 15000 grocery karibu na hom huyo narudi zangu hom toka nimeanza fuata kanuni hii naona naweza kuicontrolItoe pombe imethibitika
Mikoa mitano inayo ongoza kwa uchumi ni wanywa pombe wazuri mno ,nchi tano dunia tajiri zinazokunywa pombe mno ,Somalia matumizi ya pombe ni 0% ila watu ni maskini kupindukiaPombe kama unaweza kuicontrol ni sawa ila wengi sana wanashindwa kuicontrol..nijitolee mfano mimi baada ya kukaa na kujitathmini niliona inanipotezea sana hela nikaamua kuja na formula ifuatayo bajeti ni 60k Kwa mwezi hivyo nakunywa kila jpili bia za 15000 grocery karibu na hom huyo narudi zangu hom toka nimeanza fuata kanuni hii naona naweza kuicontrol
Bila KAMARI, rafiki yangu angeshajenga nyumba, na usafiri wa maana.Ukweli mchungu sana. Tatizo kubwa ni kwamba betting haionekani kama hasara kubwa kwa sababu pesa zinatoka kidogo kidogo. Ukipiga hesabu ya miezi au miaka ndipo unaona umeacha pesa nyingi sana. Bora hiyo hela iende kwenye kitu kinachobaki na wewe kuliko kuendelea kufukuzia “ushindi wa siku moja.” Kamari ni hatari sana kwa mipango ya maisha.
Unaonaa sasa....Bila KAMARI, rafiki yangu angeshajenga nyumba, na usafiri wa maana.
Kumpa mwanamke pesa, ni wajibu wa mwanamme toka enzi.😁😁 mbona kumpa mwanamke pesa nayo ni kamari tu bwashee
Hata usipoweka tamaa, itakutokea puani.Kamari haihitaji tamaa yaani uweke 1000 uwe na matumaini ya kushinda 2 million kirahisi hivyo
Ni kamari au sio kamari? Tuongelee uhalisia wasasa achna na enzi za maweKumpa mwanamke pesa, ni wajibu wa mwanamme toka enzi.
Mwanamke haongwi kila siku, ila mcheza KAMARI atahakikisha kila siku ana-stake.Pombe wanawake kamari ogopa sana hivo vitu
Bora kuhonga mara 500, kuliko kuliwa milioni 2 kwenye AVIATOR kwa dakika 30.Kuhonga na Betting ni kitu kile kile tu, utofauti ni kuwa ki1 unanufaika, na kingine hunufaiki kwa wakati husika, labda itokee bahati.
😂😂😂
Mkuu ni ukweli usiopingika.Hahaha
Endelea kukaza fuvu.Sio kweli Kwa sababu suala la kamari limeanza kushamili kama miaka 7 tu iliyo pita .
Kitu kinacho maliza pesa za vijana ni pombe na uzinzi hilo hali a kificho beating utaisingizia tu.
Mkuu nimenyoosha mikono, nimeikataa KAMARI.Na bado
Mkuu sio kukaza fuvu nimekutolea mfano kuwa mambo ya beting tangu yameshamili hayana hata miaka 7 Sasa niambie kabla ya hapo kilicho kuwa kinawatia umasikini vijana ni nini?Endelea kukaza fuvu.