Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
HahahaHabari zenu Wakubwa?
Moja kwa moja kwenye uzi, Rafiki yangu ametuliza akili na kupiga hesabu ya hela aliyoliwa kwenye KAMARI (aviator na sports) kwa miezi mitatu ni zaidi ya milioni 3 ambayo ni bei ya pikipiki. Ila yeye ukiangalia maisha yake hana hata baiskeli, daah inauma. Ebu fikiria hapa ni kwa miezi mitatu tu, Je, kwa mwaka amepoteza pikipiki ngapi kwenye KAMARI?
Ndugu zangu 1,000 ama 5,000 ama 10,000 inaweza kuonekana ni ndogo, ila kwa siku 200, kwa mwaka mmoja ni hela nyingi tu.
Mimi mwenyewe nimepiga hesabu ya hela ambazo nimeliwa kwenye KAMARI tokea niingie huko mwaka 2024 ni pesa ndefu sana, Japo niliona ni 5,00, 1,000, 5,000 halafu maisha yangu hayaeleweki kabisa, imagine huwezi kuwa na hela mfukoni...... hata kununua nguo upendeze unashindwa.
Namalizia kwa kusema kwamba bora umpe mwanamke pesa ale, kuliko kuzitupa kwenye KAMARI ukitegemea kwamba ipo siku utashinda milioni 500
Vijana wenzangu KAMARI.
Ukweli mchungu sana. Tatizo kubwa ni kwamba betting haionekani kama hasara kubwa kwa sababu pesa zinatoka kidogo kidogo. Ukipiga hesabu ya miezi au miaka ndipo unaona umeacha pesa nyingi sana. Bora hiyo hela iende kwenye kitu kinachobaki na wewe kuliko kuendelea kufukuzia “ushindi wa siku moja.” Kamari ni hatari sana kwa mipango ya maisha.Habari zenu Wakubwa?
Moja kwa moja kwenye uzi, Rafiki yangu ametuliza akili na kupiga hesabu ya hela aliyoliwa kwenye KAMARI (aviator na sports) kwa miezi mitatu ni zaidi ya milioni 3 ambayo ni bei ya pikipiki. Ila yeye ukiangalia maisha yake hana hata baiskeli, daah inauma. Ebu fikiria hapa ni kwa miezi mitatu tu, Je, kwa mwaka amepoteza pikipiki ngapi kwenye KAMARI?
Ndugu zangu 1,000 ama 5,000 ama 10,000 inaweza kuonekana ni ndogo, ila kwa siku 200, kwa mwaka mmoja ni hela nyingi tu.
Mimi mwenyewe nimepiga hesabu ya hela ambazo nimeliwa kwenye KAMARI tokea niingie huko mwaka 2024 ni pesa ndefu sana, Japo niliona ni 5,00, 1,000, 5,000 halafu maisha yangu hayaeleweki kabisa, imagine huwezi kuwa na hela mfukoni...... hata kununua nguo upendeze unashindwa.
Namalizia kwa kusema kwamba bora umpe mwanamke pesa ale, kuliko kuzitupa kwenye KAMARI ukitegemea kwamba ipo siku utashinda milioni 500
Vijana wenzangu KAMARI.
🤣🤣🤣🤟😁😁 mbona kumpa mwanamke pesa nayo ni kamari tu bwashee
Hahaha jamaa kaona kaongelea vitu tofauti kabisa🤣🤣🤣🤟
Haipoo io Kabisa....Kamari haihitaji tamaa yaani uweke 1000 uwe na matumaini ya kushinda 2 million kirahisi hivyo
Hapo Sasa...Hahaha jamaa kaona kaongelea vitu tofauti kabisa
Pombe inamaliza vipi pesa mkuu?Sio kweli Kwa sababu suala la kamari limeanza kushamili kama miaka 7 tu iliyo pita .
Kitu kinacho maliza pesa za vijana ni pombe na uzinzi hilo hali a kificho beating utaisingizia tu.
min -me amekugusa sasaPombe inamaliza vipi pesa mkuu?
Hapo sijaelewa kabisa bwashee 😁 mikoa mitano Tanzania inayo kunywa pombe kwa wingi , inafanya vizuri kipesa , nchi tano duniani zinakunywa pombe mno zinafnya vizuri kiuchumi duniani😁min -me amekugusa sasa
Haa mkuu najua nimeingia kwenye uwanja wako.Pombe inamaliza vipi pesa mkuu?
Hahahaha labda hivyoHaa mkuu najua nimeingia kwenye uwanja wako.
Pombe kama pombe haimalizi pesa iwapo itakuwa unakunywa mwenyewe tatizo huwa linaanza baada ya kulewa ,ukisha lewa unaanza kujiona kibopa unaanza kutoa ofa hovyo hovyo,na unywaji wa pombe wa vijana huwa unanoga ukiwa na wapambe.
Kabisa bwasheeHapo sijaelewa kabisa bwashee 😁 mikoa mitano Tanzania inayo kunywa pombe kwa wingi , inafanya vizuri kipesa , nchi tano duniani zinakunywa pombe mno zinafnya vizuri kiuchumi duniani😁
Sasa pombe inamaliza vipi hela atupe mechanism
Kuna vitu vinafikirisha mnoKabisa bwashee
Itoe pombe imethibitikaPombe wanawake kamari ogopa sana hivo vitu