Chanzo cha umasikini kwa vijana wengi si wanawake ni kamari( betting)

Itoe pombe imethibitika
Pombe kama unaweza kuicontrol ni sawa ila wengi sana wanashindwa kuicontrol..nijitolee mfano mimi baada ya kukaa na kujitathmini niliona inanipotezea sana hela nikaamua kuja na formula ifuatayo bajeti ni 60k Kwa mwezi hivyo nakunywa kila jpili bia za 15000 grocery karibu na hom huyo narudi zangu hom toka nimeanza fuata kanuni hii naona naweza kuicontrol
 
Mikoa mitano inayo ongoza kwa uchumi ni wanywa pombe wazuri mno ,nchi tano dunia tajiri zinazokunywa pombe mno ,Somalia matumizi ya pombe ni 0% ila watu ni maskini kupindukia
 
Bila KAMARI, rafiki yangu angeshajenga nyumba, na usafiri wa maana.
 
Endelea kukaza fuvu.
Mkuu sio kukaza fuvu nimekutolea mfano kuwa mambo ya beting tangu yameshamili hayana hata miaka 7 Sasa niambie kabla ya hapo kilicho kuwa kinawatia umasikini vijana ni nini?
Na mbaya zaidi vijana wa Sasa hawakai na mwanamke mmoja Kila mwanamke anaye pita mbele yake anataka amvue nguo.
Asilimia 90 ya wanaume walio feli maisha basi kuna asilimia 95 ya wanawake walio sababisha.
Kijana anaye jitafuta ukiona ameendekeza uzinzi jua ana %0000000000000000.1 ya kutoboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…