Kuhonga hakuna addiction. Watu wa kamari wanakuaga kama wamevaliwa na pepo. Yaani kama ana elfu 10 lazima iishe ndo aache, ni kama nguvu inamsukuma lazima aweke sijui kindege.Kuhonga na Betting ni kitu kile kile tu, utofauti ni kuwa ki1 unanufaika, na kingine hunufaiki kwa wakati husika, labda itokee bahati.
πππ
Mengi yamesemwa ila kamari duuh ni balaa sanaKuhonga hakuna addiction. Watu wa kamari wanakuaga kama wamevaliwa na pepo. Yaani kama ana elfu 10 lazima iishe ndo aache, ni kama nguvu inamsukuma lazima aweke sijui kindege.
Huyu ameliwa hela ya kula alafu analeta ushauri hukuππKamari haihitaji tamaa yaani uweke 1000 uwe na matumaini ya kushinda 2 million kirahisi hivyo
Unaweza kujiuliza hivi huyu mbona anafanya kazi lakini hatuoni maendeleo, kumbe pesa zote huishia kwenye KAMARI.Nadhani ingeshafutwa ila ndo platform pekee ya kuchukua kodi kwa wazalishaji wasio rasmi otherwise kwanini isifutwe? Inanufaisha wachache mno kwa kuumiza wengi.
Kweli Mkuu.Mimi binafsi naona Betting inaweza kua ni chanzo cha baadhi ya maradhi yanayo wapata vijana kwa sasa,
mfano,msongo wa mawazo au stress ni hatari sana,
Msongo wa mawazo ukiwa wa muda mrefu huweza kukusababishia magonjwa kama,Shinikizo la juu la damu,kisukari,kupungua kwa mfumo wa kinga mwilini,Depression,Anxiety,matatizo ya kukosa usingizi,kupoteza kumbukumbu,
Haya ni baadhi tu ya madhara ya kua na stress au msongo wa mawazo,tukiachana na issue ya madhara ya kiuchumi kwenye hiyo Betting.
ndipoKuhonga hakuna addiction. Watu wa kamari wanakuaga kama wamevaliwa na pepo. Yaani kama ana elfu 10 lazima iishe ndo aache, ni kama nguvu inamsukuma lazima aweke sijui kindege.
Utapigwa uchakae.Ndani ya wki 1 mwindi kanila 250,000 but this nmejipanga lazima niirudishe hii....ata kwa odd 1.2
Tabu mno.Umemaliza kila kitu, mhongaji angalau atabaki na akiba, ila mkamaria mpaka apigwe yote
ndipo
Utapigwa uchakae.
FafanuaKuhonga na Betting ni kitu kile kile tu, utofauti ni kuwa ki1 unanufaika, na kingine hunufaiki kwa wakati husika, labda itokee bahati.
πππ
Maelezo yanajitosheleza.Fafanua
Naheshimu mawazo Yako dearMaelezo yanajitosheleza.
πNaheshimu mawazo Yako dear
Wabishi camp kama kawaida yenu πππAcha upotoshaji. Mwanaume anaweza kuishi bila kubeti lakini nivigumu kuishi bila mwanamke pili .vijana wengi watanzania hawana uwezo wa kubeti hata 1$ sasa hizi herojero ndio inasababisha umaskini? Je mwanamke ukimpa jero atakubali? Kwahiyo umeandika nonsense
Ukweli mchungu kk,, mimi kuna jamaa alinionesha limchezo la ku spin ndani ya miezi mitatu walinipiga 20M + 4M waliyokuwa wamenipa π€£π€£ mpka sasa nimebaki sina kitu π’Wabishi camp kama kawaida yenu πππ
Kamari hatari.Ukweli mchungu kk,, mimi kuna jamaa alinionesha limchezo la ku spin ndani ya miezi mitatu walinipiga 20M + 4M waliyokuwa wamenipa π€£π€£ mpka sasa nimebaki sina kitu π’
Huu ndio msingi na dhamira ya mada yako.Kumpa mwanamke pesa, ni wajibu wa mwanamme toka enzi.