Chanzo Cha Umaskini Tanzania hiki Hapa. Deep State kazi kwenu

uoga wako ndio chanzo cha umaskini wako [emoji205]

acha uvivu, ongeza bidii ya kazi, uskate tamaa na Mungu Mwenyezi atakufanyia wepesi na, atakuonyesha njia [emoji205]
Kwasababu nimemtag, chawa mwenzako "choiceviable" basi acha nikureserve, lakini kwa hakika tumieni akili kwenye arguments za msingi.
 
Hakuna mwafrika anaeweza mletea maendeleo mwafrika mwenzake ipo Africa nzima.
Kosa kubwa ni kudai Uhuru hapa tulibugi.
 
Kwasababu nimemtag, chawa mwenzako "choiceviable" basi acha nikureserve, lakini kwa hakika tumieni akili kwenye arguments za msingi.
endelea kusita, endelea kuona haya, endelea kuona aibu, endelea kuchagua kazi, endelea kuishi nyumbani kwa wazaz, endelea kujifungia magetoni i 🐒

I can assurez you without fear of contradictions kwamba hutoboi, utaishia kulalamika tyuu 🐒

and ofcoz not only you, it is for entire publics 🐒
 
Tangu lini uwakilishi wa kibunge ukaleta maendeleo? Acheni porojo zisizo na msingi
 
Deep state wanadili na kuhakikisha cxm inadumu madarakani na sio kuinua uchumi.
Ujasusi wa kiuchumi wanafanya weupe na sio sisi,sisi tuachiwe ujasusi wa mbinu za kuiba kura na sio kuiba fursa.
 
Africa uongozi ni ajira na sio wito.
Thus viongozi wanapita lakini shida ni zilezile tangu uhuru.
 
Mtawanyiko mkubwa ni hoja finyu kabisa. Kinachozungumzwa ni idadi ya watu ambao mbunge anatakiwa kuwawakilisha Bungeni wala siyo ukubwa wa kipande cha ardhi ambao ndiyo mtawanyiko wenyewe unaousema hapa.

Hoja ya idadi sawa ya watanganyika wanaowakilishwa bungeni ni hoja ya msingi na yenye mantiki. Hii ni hadaa kubwa ambayo ni wajibu wetu kuipinga kwa nguvu zote. CCM ni waongooooooooooo siku zote.
 
Hiyo ni hoja ya kijinga
 
Sahihi
 
Deep state wanadili na kuhakikisha cxm inadumu madarakani na sio kuinua uchumi.
Ujasusi wa kiuchumi wanafanya weupe na sio sisi,sisi tuachiwe ujasusi wa mbinu za kuiba kura na sio kuiba fursa.
Bahati Mbaya sana
 
Labda bichwa langu ni tupu au nimekurupuka, maana sielewi kilichoandikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…