Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hili ni swali??Kuna maendeleo gani kushinda Tzn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni swali??Kuna maendeleo gani kushinda Tzn?
Pavumapo palilie.Japo hatujawahi kufundishwa kwa kina kuhusu kitu kinaitwa Deep State lakini tunaeleweshwa mahali mbali mbali kwamba Deep State ni Kundi la Siri la Wazalendo ambao ndio hasa Husukuma Gurudumu la Ustawi na Uhaif Wa Taifa ktk Nchi fulani.
Kutokana na maelezo ya kina ya weledi ya Mh Tundu Lissu akijibu maswali ya waulizaji kwenye mkutano wake ameelezea mambo mazito.
Ndugu wananchi kama mnavyofahamu kila Nchi Yetu inapopitia Mkwamo wa kiuchumi, maendeleo na Ustawi huwa Wananchi wanapeleka lawama zao kwa viongozi walioko madarakani.
Kwa hiyo ni muhimu sana kuzingatia namna viongozi wanavyopatikana kwenye Chaguzi zetu.
Kwamba tuhakikishe wanapatikana viongozi bora na wenye uwezo.
Na kwamba tupate viongozi wazalendo, wachapa kazi, wenye kuheshimu sheria, katiba na Haki za Binadamu hasa Watanzania.
Sasa kinachonisikitisha ni baada ya kusikia Takwimu hizi. Zimenifanya nielewe kwa nini hasa Tanzania hatuwezi kutoboa kiuchumi labda kwa miujiza tu. Ambayo nayo haiwezekani maana hakuna wanaomcha Mungu kwa hakika.
Kwamba Eneo lenye Wapiga kura laki nne na hamsini lina jumla ya Wabunge Takribani 50??
This is a Joke kama Taifa.
Kwamba baadhi ya maeneo ya kiuchaguzi majimbo yanaongezwa ili ku secure nafasi za kugombea za watoto na watu fulani fulani.
Hili linasikitisha sana
Tuamue Kusuka au Kunyoa.
Asante sana Mh Tundu Lissu
View attachment 2928873
NdioHili ni swali??
Kwani kigezo Cha idadi ya watu kitapunguza Majimbo?Huoni kwamba kuongezwa idadi ya majimbo ni kuongeza gharama na matumizi yasiyo na maana yoyote kwa kulipa wabunge?
Badala ya hizo fedha kulipa iddadi kubwa ya wabunge ambao kwa maoni yako hawawezi hata kuleta maendeleo, si bora bajeti hiyo kuelekezwa kwenye miundo mbinu mingine na siyo kulipa kisichochangia maendeleo yoyote???
Hoja ni..Kwani kigezo Cha idadi ya watu kitapunguza Majimbo?
Kuyapunguza inawezekana ikiwa tuu giografia itakubaliHoja ni..
Maoni yako unadai kuwa, wabunge hawachangii chochote katika nchi kujiletea maendeleo yake, na mimi nikasema, kwa sababu hiyo, huoni kwamba tunalipa wabunge kwa mapesa mengi huku hawana lolote katika kubadirisha hali za watu wetu, na bado unaunga hoja ya majimbo mengine mapya kuongezwa... huoni sasa ni upumbavu na kukosa dira ikiwa nchi itakuwa ikilipa na kuendesha bunge kwa bajeti kuuubwa ili hali hawana msaada?
Kuongezwa kwa majimbo, ni kutaka kodi nyingi itumike kulipa watu ambao faida yao haipo
Kwa nini fedha hizo zisielekezwe kwenye maeneo mhimu?
Huyo amechangangikiwa, hana muelekeo wowote.Hoja ni..

Kwa nini jiografia ni muhimu kuliko idadi ya watu??Kuyapunguza inawezekana ikiwa tuu giografia itakubali
Kwa sababu watu wanarundikana MijiniKwa nini jiografia ni muhimu kuliko idadi ya watu??
Mkuu, linapokuja jambo lenye ukweli na lenye kupungaza ama kuongeza ukali wa maisha, usionyesha uvyama mkuuKuyapunguza inawezekana ikiwa tuu giografia itakubali
Nini kifanyike ili watu wasirundikane mjini upatikane uwakilishi sawa katika chombo hiki muhimu cha kufanya maamuzi??Kwa sababu watu wanarundikana Mijini
Nakubaliana na wew, ila nilikuwa nakuambia based on current situation kwenye nchi yetu, umasikin kwa wengi wetu ni sisi wenyewe zaidi ya serikali, though nakubali na serikali inahusika ila sio kwa kiasi kikubwa kama mistakes zetuSio kweli, kwanza ni vigumu sana kupata pesa maporini n pia hata mjini kama sera na uongozi sio mzuri sio rahisi kupata pesa au kutoboa kwa walio wengi.
Masuala ya nchi unapaswa kuyatazama katika ngazi ya macro sio micro.
HaswaaHoja ni..
Maoni yako unadai kuwa, wabunge hawachangii chochote katika nchi kujiletea maendeleo yake, na mimi nikasema, kwa sababu hiyo, huoni kwamba tunalipa wabunge kwa mapesa mengi huku hawana lolote katika kubadirisha hali za watu wetu, na bado unaunga hoja ya majimbo mengine mapya kuongezwa... huoni sasa ni upumbavu na kukosa dira ikiwa nchi itakuwa ikilipa na kuendesha bunge kwa bajeti kuuubwa ili hali hawana msaada?
Kuongezwa kwa majimbo, ni kutaka kodi nyingi itumike kulipa watu ambao faida yao haipo
Kwa nini fedha hizo zisielekezwe kwenye maeneo mhimu?
Fafanua howNakubaliana na wew, ila nilikuwa nakuambia based on current situation kwenye nchi yetu, umasikin kwa wengi wetu ni sisi wenyewe zaidi ya serikali, though nakubali na serikali inahusika ila sio kwa kiasi kikubwa kama mistakes zetu
Wanaonufaika na ubunge ni ccm na sio chademaNdicho wanataka Machadema 😆😆
Hahahaa hii nayo ni kitukoWanaonufaika na ubunge ni ccm na sio chadema
Ndo maana wabunge wengi ni ccm ila lawama anapelekewa chadema
Hali ya uongozi kwetu ni mbay ila sio kivile, unahitaji kuwa smart kidogo tu na nguvu kiasi kupiga pesa,Fafanua how
Nigeria, Kenya na South Africa hakuna vipingamizi vingi vya utitiri wa vibali, kodi na tozo kuanzisha na kufanya biashara. Kwenye hizo nchi sio rahisi TRA zao au mamlaka nyingine kufunga au kuharibu biashara binafsi kama hapa au kuchukua pesa za wafanyabiashara bila kibali cha mahakama.Hali ya uongozi kwetu ni mbay ila sio kivile, unahitaji kuwa smart kidogo tu na nguvu kiasi kupiga pesa,
Nigeria kuna utekaji ovyo, kenya rushwa ipo ya kutisha, South violence, umeme hakuna, ila still watu wanakaza wanatoboa,
Utaona kwetu kidogo tunajitahidi, ukiwa smart, ukaweka juhudi, ukawa na nidhamu, ukakwepa kugombana na wanasiasa, basi easy tu unatoboa
Walio ruhusu taasisi ya urais iwe kama ilivyo ni hao hao,Na tuyaonayo leo hii matokeo ya hao hao.Siku zote huwezi pata uimara wa jambo ikiwa wewe sio imara wa kuunda jambo hilo.Mkuu hujaona kitu wewe!!?
Hujaiona sequence and series' Fulani hapa nchini!!?
Huona Kuna mambo yanaandaliwa kimya kimya!!?
Wanaanza na wale wakubwa pole pole halafu Hawa wadogo wanawekwa benchi TU by 2025!!
Nadhani hujaona vizuri kinachofanyika!!
Ile Kambi inayojiita chama kina wenyewe naiona ikishughulikiwa pole pole Kwa namna fulani ambayo wenye akili TU ndio wata notice hiyo kitu!!
Ukishaondoa hao wazee watoto hawana mizizi kwa sana!utaona na kuelewa!!
Moja ya kazi wanayoifanya ni kutopangiwa namba Moja na wao hao wanaojiona wenye nchi!
Namuona kijana mmoja anaejiandaa na 2025 akikosa support ya Nia yake coz wa kumpigania wanaondoka kiaina !we huoni!!?
Utanielewa!!
Urais ulishaanza kuonekana wa kawaida hata mambumbu wanautaka hao jamaa wamegoma na wanakata mizizi kimya kimya!
Utaelewa TU,coz 2025 anasimama mwingine kabisa sio huyu,na wale vijana wale wanaoutaka watapotea kabisa kisiasa!!
Utaona!!
hUJ