Chanzo Cha Umaskini Tanzania hiki Hapa. Deep State kazi kwenu

Pavumapo palilie.
 
Kwani kigezo Cha idadi ya watu kitapunguza Majimbo?
 
Kwani kigezo Cha idadi ya watu kitapunguza Majimbo?
Hoja ni..

Maoni yako unadai kuwa, wabunge hawachangii chochote katika nchi kujiletea maendeleo yake, na mimi nikasema, kwa sababu hiyo, huoni kwamba tunalipa wabunge kwa mapesa mengi huku hawana lolote katika kubadirisha hali za watu wetu, na bado unaunga hoja ya majimbo mengine mapya kuongezwa... huoni sasa ni upumbavu na kukosa dira ikiwa nchi itakuwa ikilipa na kuendesha bunge kwa bajeti kuuubwa ili hali hawana msaada?

Kuongezwa kwa majimbo, ni kutaka kodi nyingi itumike kulipa watu ambao faida yao haipo

Kwa nini fedha hizo zisielekezwe kwenye maeneo mhimu?
 
Kuyapunguza inawezekana ikiwa tuu giografia itakubali
 
Huyo amechangangikiwa, hana muelekeo wowote.
 
Kuyapunguza inawezekana ikiwa tuu giografia itakubali
Mkuu, linapokuja jambo lenye ukweli na lenye kupungaza ama kuongeza ukali wa maisha, usionyesha uvyama mkuu

Anayeumia ni wote, mimi, wewe na wazee wetu vijini

Tuunganeni kupinga yale yasiyofaida katika nchi yetu

Kufanya hivi ni kujitendea haki
 
Sio kweli, kwanza ni vigumu sana kupata pesa maporini n pia hata mjini kama sera na uongozi sio mzuri sio rahisi kupata pesa au kutoboa kwa walio wengi.
Masuala ya nchi unapaswa kuyatazama katika ngazi ya macro sio micro.
Nakubaliana na wew, ila nilikuwa nakuambia based on current situation kwenye nchi yetu, umasikin kwa wengi wetu ni sisi wenyewe zaidi ya serikali, though nakubali na serikali inahusika ila sio kwa kiasi kikubwa kama mistakes zetu
 
Haswaa
 
Nakubaliana na wew, ila nilikuwa nakuambia based on current situation kwenye nchi yetu, umasikin kwa wengi wetu ni sisi wenyewe zaidi ya serikali, though nakubali na serikali inahusika ila sio kwa kiasi kikubwa kama mistakes zetu
Fafanua how
 
Fafanua how
Hali ya uongozi kwetu ni mbay ila sio kivile, unahitaji kuwa smart kidogo tu na nguvu kiasi kupiga pesa,
Nigeria kuna utekaji ovyo, kenya rushwa ipo ya kutisha, South violence, umeme hakuna, ila still watu wanakaza wanatoboa,

Utaona kwetu kidogo tunajitahidi, ukiwa smart, ukaweka juhudi, ukawa na nidhamu, ukakwepa kugombana na wanasiasa, basi easy tu unatoboa
 
Nigeria, Kenya na South Africa hakuna vipingamizi vingi vya utitiri wa vibali, kodi na tozo kuanzisha na kufanya biashara. Kwenye hizo nchi sio rahisi TRA zao au mamlaka nyingine kufunga au kuharibu biashara binafsi kama hapa au kuchukua pesa za wafanyabiashara bila kibali cha mahakama.

Hakuna mtu anakuja "kukuomba" mchango wa mwenge kwenye hizo nchi, kuna barabara za lami nzuri sehemu kubwa ya nchi, umeme uko mwingi, kupata passport ya kusafiria sio anasa, elimu nzuri. Sera zinatabirika kiasi kikubwa hali inayochangia uwekezaji mkubwa kutoka nje na kukuza biashara hata za wenyeji ndani ya nchi.
 
Walio ruhusu taasisi ya urais iwe kama ilivyo ni hao hao,Na tuyaonayo leo hii matokeo ya hao hao.Siku zote huwezi pata uimara wa jambo ikiwa wewe sio imara wa kuunda jambo hilo.

Uozo ndani ya taifa hili ni reflection ya uozo wa DP yenyewe,hivyo kabla wao hawaja chukua hatau inabidi wajitafakari wenyewe kwanza uwezo uwajibikaji na weredi kabla ya kumtupia lawama mtu mwingine.

Taifa lianza kupoteza uelekeo tangu awamu ya kwanza,wao wapo tu na mbaya zaidi wakaache iwe hivyo,Leo hii wanataka kujifanya wanaguswa sana wakati nao ni sehemu ya huo uozo.

Nacho ona Mimi hao DP wanataka kutoka kwenye mfumo na kuacha watu wenye akili, Uwezo, uwajibikaji na weredi maana wao tayali washa shindwa Kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…