Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Haya ndo yanaleta shida,inawezekanaje hampo jirani afu iwe nchi moja,hii hata mim nimeipata leoShida yako wewe utaki kutafuta Maarifa, Pakistan sio nchi moja ya kwanza kuwa hivyo.... kwani mbona Palestina ambayo inaunganishwa na Gaza na West Bank ni nchi moja lakini maeneo ya Gaza na West Bank hayajaungana kujiografia... au Ramani ilikupita Kushoto....
Maeneo mawili yaliyombali yanaweza kuwa chini ya Nchi moja au kutawaliwa na Nchi moja bila kujali katikati kiunganishi ni kipi, inaweza kuwa Bahari au Nchi nyingine... hiyo hapo picha inayoonesha Pakistan ikiwa eneo moja na Bangladesh
View attachment 3327056
Au angalia hii ya Palestina ambayo West Bank na Gaza hazijaungana ila ni Nchi moja
View attachment 3327062
Hata Pakistan na India Mwanzo zilikuwa zimeungana na India na ilikuwa ni eneo moja, baada ya utofauti wa itikadi za kidini zilizoathiri siasa, Pakistan ikajitenga ikawa Nchi moja yenye maeneno mawili yasioungana, kukawa na Western Pakistan na Eastern Pakistan, zote zikiwa Chini ya utawala wa serikali ya Pakistan. Lakini kutokana na umbali wa kijografia na sababu nyinginezo Eastern Pakistan ikajitenga na Western Pakistan, na Eastern Pakistan wakabadili jina na kujiita Bangladesh. Sasa hapo kipi hakijaeleweka....lakini alichouliza mdau tofauti na mfano uliotoa Gaza na westbank mwanzo zilikuwa zimeungana kabla ya muisrael kutwaa maeneo na kuzitenganisha mipaka inayo tambuliwa na umoja wa mataifa zimeungana
Muhindi hawezi kushindwa vita hapo.... kwanza muhindi raia wake tu wanafika Billion 1.4 ambao ni mtaji tosha kwenye uzalishaji wa wapiganaji, huku Pakistan raia wake wakiwa Million 200 tu, Yani India anamzunguka Pakistan mara 7 kwa idadi ya Raia.Wahindi walianzisha vita sa wanaomba dunia iwazuie Pakistan wasiwashambulie hahaha
Toka lini vita vikawa numbers vita ni skills we tulizana tu utaskia Mhindi analalamika kwa kusema hivi Tu Mera Bai Main Tera Bai fighting kya dharurahe Pakistan dostina neh dushmanMuhindi hawezi kushindwa vita hapo.... kwanza muhindi raia wake tu wanafika Billion 1.4 ambao ni mtaji tosha kwenye uzalishaji wa wapiganaji, huku Pakistan raia wake wakiwa Million 200 tu, Yani India anamzunguka Pakistan mara 7 kwa idadi ya Raia.
Tukizungumzia Utajiri au Pato la Taifa tu... India ina pato la dollar Trillion 3.7 huku Pakistan ikiwa na Pato la dollar billion 374, yani pato la India ni mara 10 ya pato la Pakistan
India inaizidi Pakistan karibia kila kitu
Hivyo vita vya skills viliisha vita kuu ya pili ya Dunia... vita siku hizi ni Utajiri, watu wenye maarifa na rasilimali ulizonazo.... hata tukisema Skills, Pakistani inaizidi nini India, kwa skills gani.... India kwanza raia wake wametapakaa dunia nzima, Wahindi kwenye teknolojia ndio uwagusi, huko youtube tu zimejaa video zao za Tutorial namna ya kufix computer, simu na electronics nyinginezo.Toka lini vita vikawa numbers vita ni skills we tulizana tu utaskia Mhindi analalamika kwa kusema hivi Tu Mera Bai Main Tera Bai fighting kya dharurahe Pakistan dostina neh dushman
Mkuu unataka kusema ulimaanisha hivi?Toka lini vita vikawa numbers vita ni skills we tulizana tu utaskia Mhindi analalamika kwa kusema hivi Tu Mera Bai Main Tera Bai fighting kya dharurahe Pakistan dostina neh dushman
Tatizo sio kushindwa bali ni kurudishwa nyuma miaka mingi au nchi kusimamisha shughuli za kiuchumi na kuelekeza nguvu vitaniMuhindi hawezi kushindwa vita hapo.... kwanza muhindi raia wake tu wanafika Billion 1.4 ambao ni mtaji tosha kwenye uzalishaji wa wapiganaji, huku Pakistan raia wake wakiwa Million 200 tu, Yani India anamzunguka Pakistan mara 7 kwa idadi ya Raia.
Tukizungumzia Utajiri au Pato la Taifa tu... India ina pato la dollar Trillion 3.7 huku Pakistan ikiwa na Pato la dollar billion 374, yani pato la India ni mara 10 ya pato la Pakistan
India inaizidi Pakistan karibia kila kitu
Mkuu kihindi cha lalago hicho 😄 🤣Mkuu unataka kusema ulimaanisha hivi?View attachment 3327162
Vita zote Pakistan ilizowai kupigana ni dhidi ya India.... tangu 1947 wapate uhuru ni India na Pakistan, itikadi ya kwanza kuleta migogoro ni utofauti wa itikadi za kidini uliozaa vita hizi, japo Pakistan imekumbwa sana na makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda na TalibanTatizo sio kushindwa bali ni kurudishwa nyuma miaka mingi au nchi kusimamisha shughuli za kiuchumi na kuelekeza nguvu vitani
Wakati huu hata kama India itashinda itakua ni hasara kwao kwa kuchelewesha maendeleo yao na kuzidi kuwafwnya kuwa tegemezi... Pakistan ni wabishi alafu wanapigana kama vile hawana cha kupotezaVita zote Pakistan ilizowai kupigana ni dhidi ya India.... tangu 1947 wapate uhuru ni India na Pakistan, itikadi ya kwanza kuleta migogoro ni utofauti wa itikadi za kidini uliozaa vita hizi, japo Pakistan imekumbwa sana na makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda na Taliban
Akil zako ni sifuri , mwanzo hayo maeneo yalikuwa ndan ya dola moja la Muingereza kama ilivyo Palestine ilikuwa ndan ya Uingereza .lakini alichouliza mdau tofauti na mfano uliotoa Gaza na westbank mwanzo zilikuwa zimeungana kabla ya muisrael kutwaa maeneo na kuzitenganisha mipaka inayo tambuliwa na umoja wa mataifa zimeungana
Mmmh mbona hapa kuna ukakasi pakistani kugawanyika na kuzaa Pakistani na Bangladesh.ukiangalia kwenye raman Pakistani na Bangladesh hawana mpka wowote wanaoshare basi kuna bahari so inawezekana vipi hapo
The same to mfano wa M23 na DRCMuhindi hawezi kushindwa vita hapo.... kwanza muhindi raia wake tu wanafika Billion 1.4 ambao ni mtaji tosha kwenye uzalishaji wa wapiganaji, huku Pakistan raia wake wakiwa Million 200 tu, Yani India anamzunguka Pakistan mara 7 kwa idadi ya Raia.
Tukizungumzia Utajiri au Pato la Taifa tu... India ina pato la dollar Trillion 3.7 huku Pakistan ikiwa na Pato la dollar billion 374, yani pato la India ni mara 10 ya pato la Pakistan
India inaizidi Pakistan karibia kila kitu
Aliebuni huu mradi wa dini kutuletea janga kubwa Sana hapa dunianiDINI, DINI, DINI! That's the essence of the problem! DINI!