Chanzo cha vita ya India na Pakistan inayoendelea hivi leo katika eneo la Kashmir

Chanzo cha vita ya India na Pakistan inayoendelea hivi leo katika eneo la Kashmir

Pia usisahau pamoja na India kuwa taifa lenye idadi kubwa ya Waislamu kuliko nchi nyingine yoyote lakini ni wachache ukifanananisha na Mabaniani (Hindus,) wakati Pakistan ni Waislamu ,99%=kuna element ya udini. Waislamu wa India ni second class citizens wakikutwa wanakula nyama ya ng'ombe huuwawa.
Hiyo sio tu kwa waislam hata wakristo.
Kiufupi usikutwe unakula beef.
 
Back
Top Bottom