Chanzo Kikuu cha Watu walio kwenye mahusiano kuchepuka

f_m

Member
Joined
Sep 19, 2017
Posts
58
Reaction score
35
  1. Akiwa na urafiki na mwanaume
  2. Kipindi mmekosana/mmenuniana
  3. Kipato cha mwanaume kikipungua.
  4. Uwepo/awapo amesafiri
  5. Akiwa kazini hasa kama ameajiriwa


 
(1)Akiwa na urafiki na mwanaume
(2)Kipindi mmekosana/mmenuniana
(3)kipato cha mwanaume kikipungua.
(4)uwepo/awapo amesafiri
(5)Akiwa kazini hasa kama ameajiriwa
 
(1)Akiwa na urafiki na mwanaume
(2)Kipindi mmekosana/mmenuniana
(3)kipato cha mwanaume kikipungua.
(4)uwepo/awapo amesafiri
(5)Akiwa kazini hasa kama ameajiriwa
Ukwel mtupu
 
(1)Akiwa na urafiki na mwanaume
(2)Kipindi mmekosana/mmenuniana
(3)kipato cha mwanaume kikipungua.
(4)uwepo/awapo amesafiri
(5)Akiwa kazini hasa kama ameajiriwa
I zote hizo nakataa mi nikiwa kwenye uhusiano sichepuki na sijawahi,huwa nakuwa mwaminifu 100 percent,labda mtoa maada umezungumzia wanawake ulo wahi date nao
 
Unataka kutuaminisha kweli hizo ndizo sababu za mwanamke kuchepuka au ni mtazamo wako tu?
 
I zote hizo nakataa mi nikiwa kwenye uhusiano sichepuki na sijawahi,huwa nakuwa mwaminifu 100 percent,labda mtoa maada umezungumzia wanawake ulo wahi date nao
sasa kama wewe hujawahi kuchepuka utazijuaje sababu za kuchepuka!!???siku ukichepuka rudi hapa uangalie kama sababu ya wewe kuchepuka imetajwa hapa!!ngoja waje wanawake wachepukaji watoe ushuhuda
 
Unataka kutuaminisha kweli hizo ndizo sababu za mwanamke kuchepuka au ni mtazamo wako tu?
ni maoni yake,yanaweza kuwa kweli au si kweli,muhimu katoa maoni yake na wachepukaji waliowahi kuchepuka waje kujipima wenyewe je kilichosemwa kina ukweli ndani yake
 
6mwanaume kutomridhisha mwanamke 7mwanaume ktomjali mwanamke

Wakuu,
Maneno yenu in kweli kabisa!

Mwanamke wako inakulazimu kumthamini na kumjali.

Hata kama pesa au maisha yamebadilika pale nyumbani akielezwa katika njia inayofaa ata coope na mazingira.

Mpige kitu vizuri na wewe ukichepuka asijue! Sababu nyege ya mwanaume haishagi na macho juu juu. Akijua wewe unachepuka atatoa dudu nje.

Mwanamke mwoga sana kutoa kitu unless unamnyanyasa kwa hayo tulioyasema.
 
Uko sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…