Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza kila kitu mkuu...Ninachojua mm ....hakuna njia ya kum win mwanamke wako asichepuke .....coz wanawake Wanahuitaj vitu vingi sana km
1)muda wako
2) attention yako kwake
3) umjali kwa maneno na vitendo
4) kumuhudumia
5) kumfikisha kileleni
6) mwanaume uwe smart
7) zawadi zi mara kwa mara
8) uwe available kila atakapokuhitaji9) kutoka kwa mwanaume na...n vigumu mwanaume kutizimiza kila atakalo mwanamke
TanteeeAmin Dada angu uwe ivo ivo[emoji122]
Hahahaaa. Sitaki mieeee.Uongo mtupu.
Eti shoga kuna ukweli hapo??Hahahaaa. Sitaki mieeee.
Nimezisoma mara kumi kumi shoga angu ila bado hazijanishawishi kuona kama ni sababu kuu kama zilivyoitwa.Eti shoga kuna ukweli hapo??
Yeah!Mtu yeyote anayeijali nafsi yake hawezi kuchepuka awe mwanamke au mwanaume. Tamaa ya nafsi zetu kama binadamu inatushinda na hivyo kushindwa kuzithamini nafsi zetu
Hakuna sababu ya msingi, kuhalalisha ujinga
Mwanamke kuchepuka ni hulka hawaridhiki wewe mgegede tu afike vilima vyote kama huna pesa anachepuka tu.(1)Akiwa na urafiki na mwanaume
(2)Kipindi mmekosana/mmenuniana
(3)kipato cha mwanaume kikipungua.
(4)uwepo/awapo amesafiri
(5)Akiwa kazini hasa kama ameajiriwa
utumwa huuNinachojua mm ....hakuna njia ya kum win mwanamke wako asichepuke .....coz wanawake Wanahuitaj vitu vingi sana km
1)muda wako
2) attention yako kwake
3) umjali kwa maneno na vitendo
4) kumuhudumia
5) kumfikisha kileleni
6) mwanaume uwe smart
7) zawadi zi mara kwa mara
8) uwe available kila atakapokuhitaji
9) muamala(pesa)
kutoka kwa mwanaume na...n vigumu mwanaume kutizimiza kila atakalo mwanamke
So swala LA mwanamke kuchepuka nalo ni hitaji LA mwanamke japo hawezi kukuambia
Ukweli mtupuMwanamke kuchepuka ni hulka hawaridhiki wewe mgegede tu afike vilima vyote kama huna pesa anachepuka tu.
Jiulize kama kapewa kucha safi na nzuri na muumba wake yeye anaweka za bandia.
Kapewa nywele nzuri yeye anaweka za bandia
Kapewa kope nzuri yeye anaweka za bandia
Kapewa makalio mazuri yeye kamuona mchina ndio mungu wake
Kapewa rangi nzuri yeye kauona mkorogo wa Kongo ndio bora zaidi
Kwahyo mwanamke hata umfanyie jambo gani zuri bado hatoridhika
Kumridhisha mwanamke labda mpaka pale atakapokufa ndio utasema ameridhika
Ndugu mwanamke hata umjari vip kama ameumbwa na tamaa hawezi tulia hata mara moja hata umpende vip.tambua binadam ameumbwa pia anamapungufu yake kwahiyo kama ni mke lazima atambue hilo na awe na uaminifu tu.unaweza ukawa unampa matunzo lakini kama roho yake haitosheki hariziki hasirani,kwan wao tunavyowavumiliaga ndo wanatulizisha kwa kila kitu au??Wakuu,
Maneno yenu in kweli kabisa!
Mwanamke wako inakulazimu kumthamini na kumjali.
Hata kama pesa au maisha yamebadilika pale nyumbani akielezwa katika njia inayofaa ata coope na mazingira.
Mpige kitu vizuri na wewe ukichepuka asijue! Sababu nyege ya mwanaume haishagi na macho juu juu. Akijua wewe unachepuka atatoa dudu nje.
Mwanamke mwoga sana kutoa kitu unless unamnyanyasa kwa hayo tulioyasema.