Chanzo Kikuu cha Watu walio kwenye mahusiano kuchepuka

Chanzo Kikuu cha Watu walio kwenye mahusiano kuchepuka

Sababu za kuchepuka ziko mbili tu,:mwanamke kama alivyo mwanaume anachepuka kwa sababu anataka kustarehe, tendo la ndoa ni starehe nzuri kuliko starehe zote.Anatoka ili kuona utamu mwingine kwingine ukoje.Sababu ya pili ni uchumi, mwanamke atabadilisha wanaume ili kujiongezea kipato.Sababu zingine zote ni ndogo na hazina uzito.Hata hao wanaume wanaowalipa wanawake wanataka kuona starehe ya mwingine ikoje hata kama nyumbani ana bonge la mwanamke.Kwa kifupi kinachosumbua ni starehe,starehe na si kingine.
Umesema kweli Kabisa. Watu wanafata kale kastarehe, kautamu kanakopatikana kwenye kutomb.ana. Kuna wanaume wako vzr kitandani na uchumi pia mzuri lkn mke anachepuka. Wapo wanawake wana kila kinachohitajika mke awe nacho lkn utakuta mmewe anachepuka...
 
Sababu za kuchepuka ziko mbili tu,:mwanamke kama alivyo mwanaume anachepuka kwa sababu anataka kustarehe, tendo la ndoa ni starehe nzuri kuliko starehe zote.Anatoka ili kuona utamu mwingine kwingine ukoje.Sababu ya pili ni uchumi, mwanamke atabadilisha wanaume ili kujiongezea kipato.Sababu zingine zote ni ndogo na hazina uzito.Hata hao wanaume wanaowalipa wanawake wanataka kuona starehe ya mwingine ikoje hata kama nyumbani ana bonge la mwanamke.Kwa kifupi kinachosumbua ni starehe,starehe na si kingine.
 
Kwa iyo wawo wamezaliwa kusubir kujariwa na wanaume na wawo inabid watambue wapo wengi akizingua piga chin mwanamke ameumbwa na roho ya tamaa kumridhisha kila kitu umedanganya we kuwa nae akizingua piga chin
 
Wakuu,
Maneno yenu in kweli kabisa!

Mwanamke wako inakulazimu kumthamini na kumjali.

Hata kama pesa au maisha yamebadilika pale nyumbani akielezwa katika njia inayofaa ata coope na mazingira.

Mpige kitu vizuri na wewe ukichepuka asijue! Sababu nyege ya mwanaume haishagi na macho juu juu. Akijua wewe unachepuka atatoa dudu nje.

Mwanamke mwoga sana kutoa kitu unless unamnyanyasa kwa hayo tulioyasema.
Mie I don't care achepuke au asichepuke sina mda wa kufuatilia mambo ya mwanamke wangu,kwani ukigonga inaisha,cha msingi nisijue baaaasi
 
Wanaume wachungu sana kusikia mwanamke kachepuka
Ila wao mipango ya kando ni ujanja na nilazima!

Michepuko ya kike haina sababu au ndio lazima!?

Je kama analipiza baada ya kukuona wewe unamchepuko?

Mnafakamia sana mabeki tatu!
Ila mnajiona mnasababu za kutosha kulala na hg!
Eti wanaume nyege haziishi[emoji51]
Aliwaambia wanawake nyege zinaisha nani? Kama bwana wako anakunyanyasa,ukikutana na mshona viazi anakubembeleza na kukuheshimu,unahamisha kambi tuu,wala sio kuchit tuu,
Mfyuuu!

NB. siwapendi wazinzi wa jinsia zote!
 
Back
Top Bottom