Chanzo Kikuu cha Watu walio kwenye mahusiano kuchepuka

Chanzo Kikuu cha Watu walio kwenye mahusiano kuchepuka

Nikweli labda wanakua hawajapendana kwa dhati kunakua na uongo ndani yake
Yeah na mtu usipompenda kwa dhati wala hutaona shida kuchepuka bt ukimpenda kwel hata nafsi itakusuta ukitaka kufanya hvyo
 
Yeah na mtu usipompenda kwa dhati wala hutaona shida kuchepuka bt ukimpenda kwel hata nafsi itakusuta ukitaka kufanya hvyo
Umeongea point yamaana sana, Big up nahuo ndio ukweli
 
Ninachojua mm ....hakuna njia ya kum win mwanamke wako asichepuke .....coz wanawake Wanahuitaj vitu vingi sana km
1)muda wako
2) attention yako kwake
3) umjali kwa maneno na vitendo
4) kumuhudumia
5) kumfikisha kileleni
6) mwanaume uwe smart
7) zawadi zi mara kwa mara
8) uwe available kila atakapokuhitaji
9) muamala(pesa)
kutoka kwa mwanaume na...n vigumu mwanaume kutizimiza kila atakalo mwanamke
So swala LA mwanamke kuchepuka nalo ni hitaji LA mwanamke japo hawezi kukuambia
Na hapa kwenye upatikanaji umegusia patamu kwasababu mwanaume anakua na njaa sasa anakosa chakula kwa wakati na unajua tens njaa ya kiunoni kwetu sisi wanaume inakuwepo kila wakati kwa hiyo wanawake wanatakiwa kugawa zawadi zetu sio
 
View attachment 674779
Naskia eti na hiyo pia huwa ni sababu...[emoji12] [emoji12]
FB_IMG_15751042956358845.jpg
Hahahahahaha vipi kuhusu Matango?
 
Back
Top Bottom