Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Kuchepuka imekua nigonjwa la dunia nzima.
Na hii ipo pande zote mbili Wanaume kwa Wanawake. Huu ni ugonjwa wa dunia maanake kwamba hatakama ungeenda nchi yoyote lazima ukumbwe na kimbunga hiki.
Nilidhani labda ni fedha au mahitaji lakini wapo wapenzi wenye uwezo wakujikidhi wenyewe lakini bado wanachepuka,
Nilidhani labda ni Mapenzi lakini wapo wapenzi kwenye Degree na uzoefu wamaswala ya mapenzi nawanajua vizuri kutumia viungo vya mapenzi lakini bado wanachepuka hawatulii.
Je tatizo hili linaweza kuisha? Je kwa njia zipi?