Hivi ukiwa unatembea barabarani,ukaona begi la pesa,ukalichukua,ukaenda nalo nyumbani,siku ya kwanza kama mwenyewe hajatokea,utatumia kiasi Fulani,ikipita mwaka,utatumia zaidi.
Pesa ni kitu kizuri,kama yalivyo mapenzi/sex.
Sasa kwa hulka ya mwanadamu,huwezi kutosheka na kitu kizuri utataka zaidi na zaidi,wanaume kwa asili yao ni polygamous,kinachowafanya wawe monogamous,ni nidhamu tu,hakuna kitu mwanamke anaweza kufanya kumfanya mwanaume asitoke nje,mwanaume anatoka nje kutimiza hitaji lake la asili,(uwezi kuchoka vitu vitamu)
Hata mkeo akiwa Elizabeth Michael(lulu),siku ukikutana na Zari the boss lady,utatamani,na kama nafasi IPO unakula mzigo.
Na hii sio kwa sababu mkeo Lulu umpendi,la hasha,ndio hulka ya mwanaume,
Kwa sasa HV,mapenzi ni bwelele yapo tele,ukihitaji tu,unapata.
Vile vile kumbuka ukioa,uzuri wa mkeo,haupo customized kwa ajiri yako tu,watu wengine wataendelea kumuona mzuri,na watalusha ndoano,hivi unafikiri akili ya mwanamke akishaolewa inaturia,kuangaria dunia inaendaje,na kama anaweza kufaidika na yanayoendelea katika mazingira yake?
Wewe unaweza ukawa mume wa ndoa,unampa heshima kitaa,na stability katika jamii,lakini mkeo anatoka na badboy mmoja kitaa kwa sababu anampa chalenges/na msisimko,anamchanganya akili,anamsisimua hisia zake za usichana,lakini bad boy huyo sio husband material,kwa hiyo wewe utapewa heshima ya mume wa ndoa,na hawezi kukuacha,lakini na kibenten wake ataendelea kumkuna sawa sawa,
Wanawake wana cheat kama kisasi au revenge kwa vile kuna vitu hujatimiza,au ata cheat kwa sababu akili zao zinapenda sana sintofshamu,hivi nikitoka na huyu jamaa itakuwaje?!!!
Wanaume wanacheat kwa sababu ,kwanza ni hulka,tumeumbwa hivyo,ni dini na taratibu za jamii zinazoturazimisha tuwe na mmoja.
Mwanaume hata akioa wanawake 10,ata cheat tu,kifaa kikari kama wema,au Uwoya kikikatiza mbele yake!we were created that way,its part of our being human,sex ni tamu bwana!uwezi kutosheka na vitu vitamu,kwa vile tu,yupo mmoja nyumbani
Sent using
Jamii Forums mobile app