Chanzo Kikuu cha Watu walio kwenye mahusiano kuchepuka

Nikweli labda wanakua hawajapendana kwa dhati kunakua na uongo ndani yake
Yeah na mtu usipompenda kwa dhati wala hutaona shida kuchepuka bt ukimpenda kwel hata nafsi itakusuta ukitaka kufanya hvyo
 
Yeah na mtu usipompenda kwa dhati wala hutaona shida kuchepuka bt ukimpenda kwel hata nafsi itakusuta ukitaka kufanya hvyo
Umeongea point yamaana sana, Big up nahuo ndio ukweli
 
Na hapa kwenye upatikanaji umegusia patamu kwasababu mwanaume anakua na njaa sasa anakosa chakula kwa wakati na unajua tens njaa ya kiunoni kwetu sisi wanaume inakuwepo kila wakati kwa hiyo wanawake wanatakiwa kugawa zawadi zetu sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…