Chapa gani huifikiria zaidi hata kama hutumii bidhaa zao?

isajorsergio

Platinum Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
4,143
Reaction score
6,560
Habari πŸ‘‹πŸ½

Je, ni chapa gani hufikiria zaidi hata kama hutumii bidhaa zao? // What brand do you think about the most when you're not even using their product?

Binafsi hufikiria chapa za Adobe, Snapchat, TikTok, Apple na Lay's. Snapchat na TikTok hujiuliza namna na utendaji wa mitandao hiyo na nini misingi ya mitandao hiyo pasi ya majibu.

Zipo brand kadhaa hufikiria kuzihusu, vipi kwa upande wako?

#WeNeedPayPal
#TunatakaPayPal
#TufunguliePayPal
 
Nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana Reebok, nikawa nawaza nikipata hela nitakuwa navaa chapa zake.

Nashangaa mpaka leo sijawahi kufanya hivyo ila bado naipenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…