Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,569
Pua yangu inauwezo wa kui-detect hiyo gari kama ipo karibu najua mnyama yupo around hapa.Utakuwa unao mpango wa kuimiliki. Vizuri sana. 🤗
Nikiiona shingo inakuwa ina unageuka automatcally bila ruhusa yangu mpaka itapopotea ndio shingo itanisikiliza.
Nikiimiliki pale kwenye Plate nitaandika ELENEST jina langu harisi hilo.