Chapa gani huifikiria zaidi hata kama hutumii bidhaa zao?

Chapa gani huifikiria zaidi hata kama hutumii bidhaa zao?

Yaani madaftari yangu kuanzia darasa la 5 mpaka namaliza form 6 ilikuwa lazima logo ya Reebok iwepo.

Kiasi kwamba hata nisipoandika jina watu wanajua mmiliki.
Upendo wa kweli! Reebok ya sasa ipo vizuri sana hasa katika ubunifu na mitindo. Viatu, kofia na mavazi ni vizuri mno.
 
Nimewaza Sana... Leo nimenunua mafuta ya Sundrop ya Alizeti..Ni mazuri... Lengo lilikuwa kununua Lita moja...ila zimeadimika... nikanunue tatu...

Sundrop mafuta ya Alizetu...ndo Chapa ilokuja kichwani[emoji29]

Kuhusumu Simu...Sina aina Simu naifikiria..hata nikiwaona wenye iPhone Roho hainishtuki.... Wala sijali
 
Nimekumbuka..natamani Sana kuwa na Oven... Ila sijui kuhusu kampuni zitengenezao oven......
Hata ningezijua...Sina hela
 
Nimewaza Sana... Leo nimenunua mafuta ya Sundrop ya Alizeti..Ni mazuri... Lengo lilikuwa kununua Lita moja...ila zimeadimika... nikanunue tatu...

Sundrop mafuta ya Alizetu...ndo Chapa ilokuja kichwani[emoji29]

Kuhusumu Simu...Sina aina Simu naifikiria..hata nikiwaona wenye iPhone Roho hainishtuki.... Wala sijali
Vizuri, naona unazingatia afya kwa kutumia mafuta ya kula yaliyokidhi viwango.

iPhone na Apple Products binafsi huona ni soko complicated.
 
Back
Top Bottom