Chapa gani huifikiria zaidi hata kama hutumii bidhaa zao?

Chapa gani huifikiria zaidi hata kama hutumii bidhaa zao?

Nimeyaona Mengi..sijui ikraam...namengine...Ila naona Sundrop ndo ilikua. Kichwani..coz mafuta ya Alizeti yalia adimika..nikaenda kupima Yale ya kwanzia hero nikapewa futa la alezi Jeusiiii.... Nikaona Sundrop ya ya litamoja... Nikaona inavyo nga'aaa...nikachana na Yale meusi...nikanunue Sundrop

Sijui natangaza baishara yawatu. [emoji29][emoji29][emoji29]
Katika viwango vya mafuta Sundrop yupo. No 5 mkuu . Sema kwa vile mengine hayako kwako kwa sababu ya bei hutakuwa huyajui.
 
tecno, infinix, itel, vivo, redmi xiaomi,oppo, one plus.....

balenciaga, luis vuitton, gucci, supreme, adidas, nike

TCL, HOMEBASE, STAR X

COCA COLA
 
tecno, infinix, itel, vivo, redmi xiaomi,oppo, one plus.....

balenciaga, luis vuitton, gucci, supreme, adidas, nike

TCL, HOMEBASE, STAR X

COCA COLA
Mkuu hizi unafikiri zaidi kwa sababu gani?
 
Katika viwango vya mafuta Sundrop yupo. No 5 mkuu . Sema kwa vile mengine hayako kwako kwa sababu ya bei hutakuwa huyajui.
Mimi...nayapenda sundrop yanapatikana mtaani kwetu....

Hayo mengine sijayatumia..sundrop hayana harufu.. hayana lehemu...napenda kupikia chapati zinakuwa nzuri...

Labda nikijalibu mengine ntakuja na different view... Nimenunua sundrop...coz Ni mazuri...

Shemeji yangu kaniletea mafuta yanalizeti kanunua Singida... Ni meusi... Yaniatwa Singida Safi .. nimeshindwa yapikia...
 
SOME OF THE DISTINCTION FEATURES AS COMPARED TO "BULL/BEAST BRAND" AMBAZO TUMEZOEA
Mkuu nikikupa Luis Vuitton iliyojaa madoa na Adidas plain yenye strains na 🍁 Adidas Original logo utapendelea ipi?
 
Hakika! Mpaka kilio chetu kisikike. Popote pale uwapo ofisini, nyumbani, mtandaoni, barabarani ni #WeNeedPayPal #TunatakaPayPal #TufunguliePayPal

hawa mafala wanazini internet ni instagram na whatsapp
 
Back
Top Bottom